JK anaweza kuwa Maghumashi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK anaweza kuwa Maghumashi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Joblube, Apr 11, 2011.

 1. J

  Joblube JF-Expert Member

  #1
  Apr 11, 2011
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 367
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Walioandaa Muswaada wa Sheria ya Kuanzisha Mchakato wa Katiba kimsingi wamechangia kumpunguzia JK heshima yake. Muswaada ule ni wa kiwango cha chini sana. Na JK akikubali kuasisi mchakato wa Katiba kwa kufuata ’ ramani’ ile tulioletewa juzi na kuambiwa tuitolee maoni, basi, nahofia, kuwa kuna watakaosema mitaani; ” Na JK naye ni Maghumashi!|”
  Source Majid Mjengwa
   
 2. Noti mpya tz

  Noti mpya tz JF-Expert Member

  #2
  Apr 11, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 936
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kiongozi wetu tunamtilia shaka kiwango chake cha kufikiri na kuamua mambo lakini kwa hili yuko pagumu ndani ya chama chake na nje ya chama chake, wamevua gamba wakajifunika na ngozi ya kambale
   
 3. Panga La Shaba

  Panga La Shaba JF-Expert Member

  #3
  Apr 11, 2011
  Joined: Dec 24, 2009
  Messages: 209
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mchakato wa kupatikana kwa katiba mpya ni ngoma nzito kwa CCM,kwanza kwenye muungano,pili mahakama ya kadhi...........
   
 4. T

  Taifa_Kwanza JF-Expert Member

  #4
  Apr 11, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 443
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Jakaya hatasign mswada huu. Mpango wake ni kujichukulia point kwamba na yeye yuko upande wa UMA.
  Jamaa anatumia style ya kuwachafua wenzake ili yeye aonekane msafi zaidi ya wenzake.

  Alimtoa Kafara Lowasa na wenzake kwenye Richmond, akubalike kwenye UMA
  Akamtanguliza Chiligati na ka ---- kwenye Malipo ya Dowans juzi, yeye akaruka kimanga
  Amewatanguliza Serina Kombani na werema kwenye Mswada huu, yeye ataruka tena
  Kaitosa secretariet yake, kwamba haimsadii, ukweli ni kwamba yeye ndio kilaza
  Alimtosa SITTA speaker ili aneutralize kwa Rostamu na Lowasa.
   
 5. w

  wa hapahapa JF-Expert Member

  #5
  Mar 13, 2015
  Joined: Aug 22, 2012
  Messages: 5,541
  Likes Received: 1,589
  Trophy Points: 280
  kazi kweli kweli.
   
Loading...