Jk anatuambia tusisikilize radio za mbao. Sasa hizo za radio zingine na umeme hakuna | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jk anatuambia tusisikilize radio za mbao. Sasa hizo za radio zingine na umeme hakuna

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Duduwasha, Feb 20, 2011.

 1. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #1
  Feb 20, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 5,139
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Shake well b4 use
   
 2. P

  Pokola JF-Expert Member

  #2
  Feb 20, 2011
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 717
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Tanzania haikuwahi kupata rais muhuni namna hii.

  Angalizo:
  Wasisitize wananchi kumkumbusha Hussein Mwinyi ajiuzulu!!
   
 3. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #3
  Feb 20, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 5,139
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Habari kuwa hana uhusiano na Dowans kaona mdogo wake RA nazo ni source yake ni radio mbao ukweli ukipatikana sijui ataficha uso wake au atacheka cheka tu kama kawaida yake na wasimamizi wa kimataifa wa uchaguzi walisema kuna wizi wa kura pia alicheka cheka tu alipokabidhiwa report akijua source yake ni radio mbao.... hey Can't you behave yourself...........!!
   
 4. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #4
  Feb 20, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 5,139
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Habari ambazo hazitoki kwenye radio mbao ni za Takukuru na Tume yake ya Uchaguzi (kirav) na tume zake zisizoisha bila kumsahau Mtoto wa mkulima anayepeleka habari za radio mbao bungeni bila kuuliza wapinzani kama zipo sawa akiwaambia wafanyakazi wa rali kuwa mkataba na wahindi ushavunjwa.
   
 5. Seto

  Seto JF-Expert Member

  #5
  Feb 20, 2011
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 961
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Tanzania hakuna serikali ila kuna kampuni ya kuridhishana ya ccm inayoendeshwa na genge la wahuni fulani.
   
 6. Pakawa

  Pakawa JF-Expert Member

  #6
  Feb 20, 2011
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,727
  Likes Received: 3,144
  Trophy Points: 280
  Zipi ndio radio mbao?
   
Loading...