Jk anatembelea sabasaba nani anaenda kuwatembelea Wagonjwa waliogomewa na madaktari? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jk anatembelea sabasaba nani anaenda kuwatembelea Wagonjwa waliogomewa na madaktari?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Return Of Undertaker, Jul 6, 2012.

 1. Return Of Undertaker

  Return Of Undertaker JF-Expert Member

  #1
  Jul 6, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 2,367
  Likes Received: 8,382
  Trophy Points: 280
  Huyu jamaaa simweli na una ukrmavu wa kufikiri na kuamua
   
 2. mpinga shetani

  mpinga shetani JF-Expert Member

  #2
  Jul 6, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 3,268
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  jamani JK alishatembelea wagonjwa mwaka 2006 alipoingia madarakani !
   
 3. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #3
  Jul 6, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,671
  Trophy Points: 280
  Ataenda Slaa ambaye anatetea mgomo.
   
 4. Osaka

  Osaka JF-Expert Member

  #4
  Jul 6, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 1,766
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Labda akitoka ktk ziara yake ya wiki ijayo nchini Uingereza, atakwenda kuwatembelea wagonjwa.
   
 5. F

  FJM JF-Expert Member

  #5
  Jul 6, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145

  Ritz, nimesikia hoja za wabunge wengi sana toka upande wa ccm wakilalamika mgomo wa madaktari una watu nyuma yake. Labda niseme hivi: Kuku mwenye vifaranga akiona akiona mwewe anapitapita karibu, na kama kweli anawajali vifaranga wake atawaficha kwenye mbawa zake ili wasikumbwe na dhoruba la mwewe.

  Kama CCM na serikali yake yenye intelligensia hadi ya kubashiri fujo waliona 'mwewe' anaelekea upande wa madaktari walitakiwa wafanye hima na kuhakikisha wanawaweka salama madaktari ili wasichukuliwe na "mwewe". Na kama ni kweli kuna mgomo wa madaktari una watu/mtu nyuma basi serikali ya CCM haifai. Walikuwa wapi mpaka madaktari wakasikiliza upande mwingine? Airport?

  Na mambo ya kujiuliza ni haya:
  1. Ni lini serikali ya CCM ilijua kuna watu wanawanyemelea madaktari?
  2. Na walifanya nini ili kuwazidi ujanja waliokuwa wanawanyemelea madaktari?
  3. Madaktari wana akili timamu na utashi wa kuamua mambo bila msukumo?
  4. Kwa nini wanafikiri madaktari wamewakiliza 'hao wengine' na sio serikali?
  5. Wagonjwa wafanye nini hasa wale ambao hawako karibu na hospitali za jeshi?
  6. Madai ya madaktari kuwa hakuna vifaa tiba ya kweli au si kweli?
  7. Ni kweli serikali haina uwezo wa kuwalipa madaktari? (ref 50 celebration budget)
  8. Nini mpango wa serikali kutatua tatizo hili? Kuendelea kama kawaida as if nothing kimetokea?
  9. Wanatanzia bado waendelee kuwa na imani na serikali ya CCM? Kwa sababu zipi?
   
 6. Gurudumu

  Gurudumu JF-Expert Member

  #6
  Jul 6, 2012
  Joined: Feb 5, 2008
  Messages: 2,350
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  JK ni kipenzi cha watu. Wananchi walikuwa wanagombea kumshika Mkono huko sabasaba. Hakugombea urais kuja kutatua matatizo yenu. Waliomtangulia kwa nini hawakuyatatua? Mwacheni, yeye ni Rais, ale bata lala salama hii
   
 7. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #7
  Jul 6, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,692
  Likes Received: 12,738
  Trophy Points: 280
  Kaenda kupiga picha!
   
Loading...