JK anapotabasamu kwenye msiba wa Elvis Musiba!!!

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
733
mus1.jpg
 
Yeye amekuwa akitoa semina elekezi kwa maofisa wake, je, yeye amewahi kupewa semina elekezi namna ya ku-behave katika platform mbalimbali?. :doh::A S angry::nono:
 
....aarrrghhh? chumvi ikizidi sana mchuzi haunogi tena jamani!
This is very low.
 
Alikuwa anampongeza CCM-B a.k.a TLP kwa kusaidia kuichanga nchi, sasa asicheke kwa nini.
 
This man is bogus,yee kila mahali ni kukenua tu hata kwenye serious issues na ndio maana wasaidizi wake wanamchezea chezea.
 
Kuna mzee aliwai fanya kazi na JK kule mtwara enzi izoooooooo akasema JK he is never serious
 
Yeye amekuwa akitoa semina elekezi kwa maofisa wake, je, yeye amewahi kupewa semina elekezi namna ya ku-behave katika platform mbalimbali?. :doh::A S angry::nono:

Aaaah huyu si msanii tu ! Unakumbuka alisema anamajina ya wauza unga mezani na amewapa muda waache? EPA pia watu warudishe hela walizochukua lakini Kagoda imekuwa kitendawili. This guy has to change anaipela hii inji pabaya na huyo jamaa wa Alshabab akiwa spika tumekisha.
 
Yeye amekuwa akitoa semina elekezi kwa maofisa wake, je, yeye amewahi kupewa semina elekezi namna ya ku-behave katika platform mbalimbali?. :doh::A S angry::nono:

Aaaah huyu si msanii tu ! Unakumbuka alisema anamajina ya wauza unga mezani na amewapa muda waache? EPA pia watu warudishe hela walizochukua lakini Kagoda imekuwa kitendawili. This guy has to change anaipela hii inji pabaya
 
Kafundishwa na washauri wake kutabasamu anapoona kuna kamera, basi yeye anatabasamu kila mahali.
 
kabisa

WAMANG'ATI NA WAMBULU NDIO WATU WA BARA. WAKO SERIOUS KWELI; HATA WAKISEMA UONGO WANAKUWA SERIOUS. HATA WAKILAGHAI WANAKUWA SERIOUS. MPAKA WATU WANAWAGEUZA MIUNGU WATU

WAO WAKO SERIOUS TU

WANACHAKACHUA BARUA, BADO WANAKUWA SERIOUS.


BESIDES JK LIVES HEALTHILY, ANAJUWA AFYA YA KUJINUNISHA INAKUWAJE.

Muscles to smile, muscles to frown - Wellsphere

SMILE VS FROWN

watu wa pwani wengi hawako serious, wazee wa yakhe!!!!!!
 
Polen wafiwa mungu awape uvumilivu
pole da rose ..ndio maisha hayo bwana ametoa bwana ametwaa jina la bwana libarikiwe
pole mamaeddy
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom