"JK anaona matatizo halafu anakaa kimya, wapinzani wakisema mnasema wanapiga kelele" by Kinana

TZ imekwisha haribika sana, Kweli JK ni zero brain, swali ni kwamba aliupataje Urais mtu mwenye akili ndogo kama ya panzi? Tuzifunje ili tujue tatizo harafu tushughulike na chanzo na sio matokeo
 
JK ni kiziwi......... Anasubiri mwisho wa mwezi aende kuongea na wazee wa Dar

Na kweli!!!!!!

Naomba nikumbusheni; jana ilikuwa mwisho wa mwezi, Je, walihutubia Taifa??????? mimi sikuwa makini kufuatilia jana kwani nilikuwa na ghadhabu kusikitikia mgomo wa madakitari.

Kwa sababu hata kama Raisi hayupo ina maana kikatiba kuna wanaoshika nafasi yake. naomba ufahamisho....

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
JK hajui lolote sasa unategemea ataongea nini?kama mawaziri wake tu wanamuona hana upeo itakuwa sisi wananchi...amalize muda wake aondoke tuanze upya tu..lakini kwa utawala wake ..haki ya mungu mtu wa kutoka dini na kabila lake atapata shida sana kuukwaa urais kwa miaka ya karibuni

duuh, nchi inaelekea sudan, huna hata haya we mtu gani unaleta ukabila, udini. 4 ur info nchi hii hatutokubali siasa za upupu kama zako. nyau wee. POTEA MWANA HIZAYA.:alien:
 
duuh, nchi inaelekea sudan, huna hata haya we mtu gani unaleta ukabila, udini. 4 ur info nchi hii hatutokubali siasa za upupu kama zako. nyau wee. POTEA MWANA HIZAYA.:alien:
Ungekuwa na ushujaa huu kwa kuwakemea Bakwata ungefanya la maana sana.
 
Kumbe ili linaeleweka, kama Rais hafai kujificha nyuma ya migongo ya watendaji wake. Yeye Kikwete ni mtendaji wa
mwisho kwa maamuzi ya kiserikali, tusemee katika familia anatakiwa ajue matatizo yote ya nyumbani kwake, na
kuyatatua hata mtoto akikohoa ajue maana yake, kama ni vumbi limempitia au kikohozi cha ugonjwa ili amuwaishe hospitali
akapate matibabu. Kwa sababu sisi Watanzania wote tunaiangalia nchi yetu iwe katika mwelekeo wa mafanikio, tukisema
sisi ni masikini ni sawa na kujidanganya, bali umasikini uliokuwepo ni wa kutengenezwa na Ccm pamoja na Serikali yake.
Watanzania tunahitaji kauli ya Rais kwa kila jambo linaloigusa Serikali pamoja na ufumbuzi wake.
Na sasa hivi katika mtiririko huu kuhusu posho za Wabunge, Mgomo wa Madaktari, Mgogomo wa Waalimu ambao unateg-
emea kuanza pamoja na migogoro ya vyuo vikuu yote hayo hatujapata kauli yako hata ufumbuzi wake hatuhujui.
Na yote hayo yanahusu nyongeza za mishahara, Posho pamoja na mikopo ya elimu ya juu. Hatuchoki udadisi tutaendelea kuhoji, na kama utaendelea kukaa kimya CDM nao wataendelea kukusemea na kuwaelimisha zaidi Watanzania, kwa maovu
yako.
 
Bakwata sijui umeitoa wapi..! hebu nifahamishe kitu gani unaongelea ''

[h=2]
icon1.png
Udini waingilia Rasmi kampeni Igunga[/h]
Taarifa ya habari ya ITV saa mbili imeonyesha tamko Rasmi la Bakwata kuwataka waislam wa Igunga wasimpigie kura mgombea wa chadema.Nimepata mshtuko mkubwa na kuona taifa letu sasa linaangamia.Hivi ni halali kwa mujibu wa sheria za uchaguzi dini kutangaza rasmi chama fulani kisipigiwe kura? Watu wote wapenda haki demokrasia na amani walaani tamko hili haramu.​
 
****** anajua nini? Ana upeo gani wa kuyatafakari mambo mazito? Anachoweza ni pupanda pipa na kuvinjari duniani. Mambo ya kutumia bongo hayawezi, labda kuchangisha michango ya harambee!
 
Hivi katiba inasemaje kuhusu Rais ASIYEFAA? Hakuna kipengele kinachozungumzia kuondolewa madarakani kwa kiongozi wa nchi asiyefaa hata kama amebakiza muda wa miaka kadhaa?
 
icon1.png
Udini waingilia Rasmi kampeni Igunga


Taarifa ya habari ya ITV saa mbili imeonyesha tamko Rasmi la Bakwata kuwataka waislam wa Igunga wasimpigie kura mgombea wa chadema.Nimepata mshtuko mkubwa na kuona taifa letu sasa linaangamia.Hivi ni halali kwa mujibu wa sheria za uchaguzi dini kutangaza rasmi chama fulani kisipigiwe kura? Watu wote wapenda haki demokrasia na amani walaani tamko hili haramu.​
Im not Bakwata. Bakwata not my DINI.
 
Achaneni na mambo ya DINI zungumzieni mustakabali wa taifa letu chini ya uongozi dhaifu wa JK. Tufanye nini?
 
Achaneni na mambo ya DINI zungumzieni mustakabali wa taifa letu chini ya uongozi dhaifu wa JK. Tufanye nini?
 
Haswaaa..hi,hi,hi,.. We umempatia kabisaaa yani wala hujakosea.. Ana hulka ya kulifanya lile linalopingwa halafu baadae anakana km sio yeye.. Jamaa anaishi maisha mazuri.. Yani Tz kiongozi u do something ukiulizwa unakana tu very eazy na maisha yanaendelea.. I nchi hivi kuna sheria kweli.. Na km ipo lini itafanya kazi..?
mkuu nchi hii ina sheria nzuri tu,ila zitaanza kufanya kazi pale tu watanzania tutakapoamua kufanya overhaul ya watawala wa nchi hii,otherwise sheria zitaendelea kufanyakazi kwa mlala hoi tu wa Tanganyika na Zanzibar
 
Hivi katiba inasemaje kuhusu Rais ASIYEFAA? Hakuna kipengele kinachozungumzia kuondolewa madarakani kwa kiongozi wa nchi asiyefaa hata kama amebakiza muda wa miaka kadhaa?
Inawezekana kumuundoa madarakani lakini lazima uwe na wabunge ambao si WACHUMIA TUMBO ( hawa waTumbo niachie,nimwachie_________.HAIWEZEKANI otherwise Nguvu ya Umma ichukue mkondo wake
 
Maneno ya Kinana mwenyewe kama ilivyoripotiwa na Mwananchi, 31/01/2012

"Nitamwambia Rais kuwa wananchi wanakubaliana na utendaji wako ila uongeze ukali...Hili suala la kuonea aibu la chama cha CCM ndilo linalosababisha wapinzani wapate nguvu, haiwezekani Kiongozi wa CCM anaona matatizo halafu anakaa kimya, wapinzani wakisema mnasema wanapiga kelele.
Magazeti ya kufungia maandazi kwenye vigenge.
 
Kwani unaweza ukautofautisha uislam na JK? Wizara nzote muhimu wamepewa waislam!
 
Zitto pesa anazopokea kutoka kwa wafadhili wake zinamtosha, Makamba ile mihela aliyochukuw Nasdaq USA inamtosha sana, Kigwangwala ni muhongo na mnafki, na ni member humu JF natafuta post zake humu JF alizokuwa anapigia upatu miposho, alichofanya Kigwangala ni kucheza na akili za Watanzania kupata Political credilbity, kwani alijuwa wazi kwamba posho ni lazima zipande, kwahiyo alitaka kuonesha yupo upande wa Wananchi. huyu ni mnafki.

Hakuna mwana siasa asiye mnafiki,na unafiki huzaa uongo.
Uongo unapo zungumzwa sana hugeuka ukweli mbele ya wavivu wa kufikiri.
Katika dunia ya leo,wavivu wa kufikiri/wapuuziaji ni wengi sana.

Wanacho fanya wote ni kuongeza idadi ya watu wanao weza kuwadanganya
ili wawaamini.

Zitto angekua mkweli angepeleka hoja bungeni kuhusu huduma bora za afya
Tanzania.

Yeye aliumwa malaria + Kipanda uso akaenda kutibiwa India,...Kipanda uso ni vigumu
operation yake kufanywa hapa nchini.

Alipo rudi akadhani yeye tu ndo alikua mgonjwa wa kipanda uso,...honestly wagonjwa
ni wengi,thank God mama yangu ali bahatika kufanya operation pia.

Vipi wasio kuwa na uwezo wata fanyaje?
Wanapinga posho wakati wanajua kabisa zinaingia kwenye accounts zao.
Wizi mtupu.
 
huyu kinana nae na ile kampuni yake ya WIA na tenda za upendeleo.....
Kinana ana usafi/credibility ya kutamka hayo?!Leaders have to learn to walk their talks waache kuchukua cheap popularity toka kwa wananchi wa kawaida! Aje humu JF na kutuambia hayo aone!

Kiongozi wa umma unatakiwa uwe credible in fact and in appearance! Sasa huyu tuki mmulika!atasimama?! Teh! Uongozi mgumu hasa wa nchi maskini!watu hawaoni aibu kuongoza watu wenye hali tofauti sana na wao??
 
Maneno ya Kinana mwenyewe kama ilivyoripotiwa na Mwananchi, 31/01/2012

"’Nitamwambia Rais kuwa wananchi wanakubaliana na utendaji wako ila uongeze ukali...Hili suala la kuonea aibu la chama cha CCM ndilo linalosababisha wapinzani wapate nguvu, haiwezekani Kiongozi wa CCM anaona matatizo halafu anakaa kimya, wapinzani wakisema mnasema wanapiga kelele”.

lakini haya maneno si yalitamkwa na Samuel alivyokuwa speaker watu wakaona ana mdhalilisha Raisi, maana mkubwa haambiwi akikosea?
 
Back
Top Bottom