AlamaZA NYAKATI
JF-Expert Member
- Feb 8, 2011
- 274
- 28
Karibu viongozi wote walitoa maoni kwa jinsi viongozi na watz wanavyomuenzi Mwalimu, lakini sijasikia kauli yeyote kwa mkuu wa nchi kuhusu Mwalimu......kunani?
sina uhakika kama siku ya kumbukumbu ya kifo cha baba wa taifa alikuwa nchini...mgeni rasmi kule Mara alikuwa makamu wa rais...Karibu viongozi wote walitoa maoni kwa jinsi viongozi na watz wanavyomuenzi Mwalimu, lakini sijasikia kauli yeyote kwa mkuu wa nchi kuhusu Mwalimu......kunani?
Thubutu.Mamvi akiingia madarakani utamuona pale mahakamani kaka!