Jk anamsifia Mkapa, je watanzania tumsifu kwa lipi?

Rayase

Member
Jun 12, 2009
82
3
Wana JF nimekuwa nikufuatilia kwa makini hutuba nyingi za hivi karibuni za mhe Raisi katika ufunguzi wa miradi mbalimbali ya serikali. 1.Mradi wa maji kanda ya ziwa 2. Daraja la umoja na jana tarehe 17 May 2010 uzinduzi wa EPZ pale mabibo. katika miradi yote hiyo amekuwa akimsifia ( Kumkubali ) Mhe . Benjamini William Mkapa kwa kufanya maamuzi magumu yenye ujasiri mkubwa. Sasa me najaribu tu kuwaza je sisi watanzania tutamkumbuka kwa lipi akishamalilza uongozi wake?

tunapowaza mimi binafsi nimeyaona yafuatayo

1.Ujenzi wa UDOM( Japokuwa sina uhakika wazo lianza wakati wa Mkapa au JK)
2.Ujenzi wa shule za kata ( Japokuwa walimu ni problem)
3.
4.
tuendelee kutasmini

Rais Kikwete amwagia tena sifa Mkapa
 
JK amegundua ili kujiongezea umaarufu ni vema akamkubalii MKAPA hadharani kupitiaa ufunguzii wa miradi ambayoo aliinzaa na kupanga utekelezajii wake.

Baada ya miaka 5 kuanziaa sasa shutuma dhidi ya MKAPA zitakosaa nafasi na ndipoo umuhimuu wakee utaonekaanaa vemaaa.

Mradi wa UDOM ni mipango ya utawalaa wa MKAPA na ni yeye aliyeamuaa Majengo ya Chiwaga yawe sehemu ya mwanzo ya chuo hichoo kikubwaa kulikoo vyotee nchini..

Shule za kata ni zao la MMEM na utekelezaji wa MMES ambao ni kete muhimuu tuu ya utawala wa MKAPA kupitia waziri wake wa elimu J.J.MUNGAI..Lowassa alitambuaa hiloo na aliwekaa juhudii kubwaa uhamsishaji wa ujenzi wa shule za kata nchi zimaa..

kimahesabu ni MMEM +MMES = UDOM na upanuzii wa elimu ya juu nchini yaani MMEJ.
 
Back
Top Bottom