JK Anajutia Hotuba (za Mkapa) za Mwisho wa Mwezi?

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,827
4,172
Kama December alijiuma-uma. Aka-dig round the bush.

Mwezi huu itakuwaje? Tutarajie nini kutoka kwa Mr. Jakaya?
 
Kaka aibu tupu, unajua hata kwenda pale mwenyewe anashindwa na anakoelekea atazisitisha
 
Hali ikiendelea hivi atafuta huu utaratibu,hivi ule wa kuulizwa maswali live kwenye Tv uliishia wapi?
 
mimi wala huwa simsikilizi. ukitaka kumwua nyani usimwangalie usoni. kumbe bado huwa anahutubia kila mwezi despite all the blunders he has made? the chap have guts
 
Huo mda anaoutumia kukremisha hotuba bora angekuwa anacheza kiduku, mana ndo anachokipenda hicho
 
Kama yule wa Gambia, His Excellency the President Sheikh Professor Alhaji Dr Yahya Abdul-Azziz Jemus Junkung Jammeh
 
Yaani huwa sina muda wa kusikiliza hotuba za huyo jamaa mm huwa naona napoteza muda bora nisikilize bongo Fleva kuliko kumsikiliza JK.
 
Huo mda anaoutumia kukremisha hotuba bora angekuwa anacheza kiduku, mana ndo anachokipenda hicho

Sniper huyo kwenye target mbona kama namjua!, tafadhali toa kidole kwenye trigger
 
Kwenye hotuba zake hizo kwa wana-CCM lazima eleze kama sasa hivi wamekuja na sera mpya mauaji ya raia mijini hadi mashambani baada ya kutuumiza vilivyo na sera yao kipenzi cha ufisadi au?
 
Kama yule wa Gambia, His Excellency the President Sheikh Professor Alhaji Dr Yahya Abdul-Azziz Jemus Junkung Jammeh


Haa haaa haaa!
Unanifurahisha mkuu. Huyu Mkwere ni Idd Amin type.
Kanapenda sifa wakati kalikimbia shule kazi kukenua tu.

Anaitwa His Excellency, Alhaji, Dr, MC, CBE, Field Mashal, the concequer of Democracy empire, Prof. Jakaya Mrisho Kikwete.
 
atasema Sudan usuluhishi unaendelea vizuri....!!!!!!!!!!!???????????? far out of point, XXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXX, 00%
 
Back
Top Bottom