JK anajifanya yupo busy kuandika katika uzinduzi wa U-DOM.

Tusker Bariiiidi

JF-Expert Member
Jul 3, 2007
5,520
2,091
Kwa mara ya kwanza kabisa Rais wa NEC,JK anajifanya ku-note kila anachokiongea Prof.Iddrisa Kikula...
 
Kwa mara ya kwanza kabisa Rais wa NEC,JK anajifanya ku-note kila anachokiongea Prof.Iddrisa Kikula...

Kwani hana wasaidizi wa kuandika. Urais si kushika kalamu na kuandika bali ni kufanya maamuzi hata kama ni magumu bali yana manufaa kwa nchi. Aaanze na kuwapeleka mahakamani mafisadi hata kama watakuwa ni kina RA na EL
 
Yupo Live TBC... "Anajivunia kuwa baada ya U-DOM kuwepo; viwanja,Nyumba za kupanga vimepanda nyumba na badooo" duuuh!!!
 
Prof.Mshindo Msolla amekaa kwenye pool mpoleee,ama-kweli ukimwagwa unadhalilika sana... Hajakumbukwa hata kwenye risala...
 
Prof.Mshindo Msolla amekaa kwenye pool mpoleee,ama-kweli ukimwagwa unadhalilika sana... Hajakumbukwa hata kwenye risala...

Huyo ni nani? Ama unamaana ya Prof Pater Mahmoud Msolla ?Dr Mshindo Msolla alikuwa kocha wa Taifa Stairs na timu fulani ilikuwa Tabora nadhani Mirambo
 
Back
Top Bottom