JK anafanya kazi ya waziri wa mambo ya Nje?

spencer

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
3,599
3,220
Kuna matumizxi mabaya ya Fedha zetu, PAYE zetu, kodi zetu, mirahaba yetu
Jk anaendeleza Tour nje saivi ashenda Belgium,Egypt & Zambia sasa waziri wa mabo ya nje anafanya kazi gani???

Naona JK anasahau majukumu yake na kufanya ya waziri wake, sasa ni bora ajiapishe pia uwaziri wa mambo ya Nje.:peep:
Lets Tok.
 
hivi toka lini jk kafanya kazi ya uraisi?he is always mtalii
 
jk nakera sana,hajui tu jinsi watanzania wanavyochukia hilo swala.nadhani bora angefuta tu wizara ya mambo ya nje tujue moja
 
before awe prezo alikuwa waziri wa wizara hiyo, kwahiyo 'anafukia mashimo'...
 
Kwa wale wanaweza kufanya hesabu,
Wataunzania wamelalamika zile safari 120 ndani miaka mitano
kwasasa hebu fikria ndani miezi miwili tu ashaenda 3times inamaanisha miezi sitini ni safari 180 au zaidi kama kasi ya kusafiri itaongezeka.

Jitahidiwa kulipa kodi isije tokea amezuiliwa ughaibuni kwa madeni katika mahoteli:peep:
 
Yeye siku zote ni waziri wa mabo ya nje, Membe ni msaidizi wa wizara hiyo nahupata fursa hizo pindi mweyne wizara(JK) anapokuwa mgonjwa au anajambo lingine na lenye publicity kubwa zaidi ndo amtume Membe.
 
Mwacheni vasco da gama wetu jamani labda anafanya tafiti.

Au mwacheni christopher columbus wetu akavumbue.
 
bad newz!.hakuna wa kumshauri rais wetu,mkubwa hapendi kufikiria mambo ya msingi kabisa.
 
Back
Top Bottom