JK ana kigugumizi au kiingereza mgogoro? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK ana kigugumizi au kiingereza mgogoro?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Sniper, Jul 14, 2011.

 1. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #1
  Jul 14, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,944
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Sio kawaida yangu kumsikiliza huyu mtu ila leo kwa bahati mbaya wakati naangalia TBC akatokea JK kwenye luninga, aaah, alikuwa anaongelea ziara yake ya Seychelles, sasa tatizo anapoongea kiingereza, ni kwamba ana kigugumizi au hajui kiingereza? mana anavyoongea anatafuta tafuta maneno dakika nzima anarudiarudia, ....aaah aaah you know in - in - in out cou country cou country...ishara za mikono nyiiiiiiiingi nkachange channel kuangalia katuni mana alinikera kwa kifupi.
   
 2. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #2
  Jul 14, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  aisee...
   
 3. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #3
  Jul 14, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280

  ana shahada ya siasa yule jamaa
   
 4. Kibukuasili

  Kibukuasili JF-Expert Member

  #4
  Jul 14, 2011
  Joined: May 15, 2010
  Messages: 858
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  sio lugha ya kwanza tusishangae. Unapofikiri kiswahili na kutamka kiingereza lazima utatumia muda mrefu kidogo kutamka.
   
 5. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #5
  Jul 14, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Slaa sijawahi kumsikia hata hicho cha kigugumizi!
   
 6. Kabembe

  Kabembe JF-Expert Member

  #6
  Jul 14, 2011
  Joined: Feb 11, 2009
  Messages: 2,236
  Likes Received: 928
  Trophy Points: 280
  Huyo ni miongoni mwa wale wanaotuletea sifa mbaya duniani kwamba mbongo ukitaka kumficha kitu weka katikati ya kitabu,yaani jamaa tangu kamaliza degree yake in 70's ajagusa tena shule,hata kuongeza ka-foreign language hakuna regardless of being in the foreign ministry for 10yrs!!!!
   
 7. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #7
  Jul 14, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Mh!hapo kweli kuna utata juu ya ukweli wa jambo hili!!
   
 8. k

  kakolo Senior Member

  #8
  Jul 14, 2011
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 176
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Kuna mdau nilikuwa naongea nae yuko UK anasemaKuna channel ya VOX AFRICA wanarusha TZ WEEK @ 8:30pmUK time wiki hii yote. Jamaa anasema mkuu Wa kaya anatema umomboila janga la taifa hata ku-face media ni issue. Mlioko hukoMtujuze maana huku kwetu hata umeme wa kubahatisha.
   
 9. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #9
  Jul 14, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Kwa swala la watanzania kuijua vema lugha ya kiingereza,hakuna wa kumcheka mwenzie,hata hao kna lipumba waliopga shule havard still lugha inawapga chenga ndo ije kuwa huyo mswahil wa bagamoyo!
   
 10. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #10
  Jul 14, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Nliwahi mwona akitalk na shaka sali wa VoA ilikuwa kituko .alirudia maneno mpaka nikapasua remote kwa hasira
   
 11. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #11
  Jul 14, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  hili swala la kingreza ni janga la kitaifa........sio huyo tu......wapo wengi
   
 12. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #12
  Jul 14, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Preta sio wapo wengi tupo wengi. na mm nimo

  V ipi nijisali uje unipige tution ya ku -"kiranga" kingereza. Ukiwa mwalimu wewe nadhani nitafaulu ndani ya mda mfupi.
   
 13. LoyalTzCitizen

  LoyalTzCitizen JF-Expert Member

  #13
  Jul 14, 2011
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 1,807
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Sio janga la kitaifa ni mentality tu na uvivu usio na maana! kuna watanzania wengi sana wanaongea descent English compared na nchi nyingi sana Africa . Nimepata comments nyingi sana za watu wa west ( the origin of English) waki appreciate jinsi watanzania wanavyoweza ongea English vizuri!
  Source: Me (my) personal experience! whack me if you can!!
   
 14. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #14
  Jul 14, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Katika waongeaji wa kiingeeza vizuri Kikwete yumo, hilo halina ubishi kabisa tena. Kigugumizi (slightly) huwa nacho hata akiongea kiswahili. Ni nani aliyekamilika?
   
 15. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #15
  Jul 14, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,274
  Trophy Points: 280
  Slaa usimfananishe na huyo Kilaza, Dr Slaa anaongea kwa ufasaha lugha 6 za kimataifa
  1. English
  2. Italian
  3. German
  4. French
  5. Latin
  6. Spanish
   
 16. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #16
  Jul 14, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  ila tz kuna watu wana tonation nzuri ya english umewahi msikia mzanzibar akiongea huwa nawapenda
   
 17. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #17
  Jul 14, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  English is not our first language and one don't need to bother grasping it. By the way, english proficiency is not a criterion that can be applied to examine someone's perfomance. There are a number of countries which excelled tremendously and yet applying English as their second language.
   
 18. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #18
  Jul 14, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,274
  Trophy Points: 280
  Jk anajuwa kuandika hii lugha kuliko wewe, kama unajiona hodari wa lugha hii weka hapa audio clip yako ya dakika 10 tu.
   
 19. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #19
  Jul 14, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Did you take time to scrutinize my post or you have impetously jumped into making a reply?
   
 20. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #20
  Jul 14, 2011
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  unatania!

  ILA nadhani tusipende sana kujadili kuhusu lugha za kigeni na viongozi wetu. Sioni tatizo lolote wanaongea na kuelekewa. Lugha ni njia ya kuwasiliana na kama wanaweza kutumia lugha kufikisha ujumbe inatosha.Sasa wenye kutaka viongozi waongee Queen's English with cockney accent..wana yao!! Lafudhi siyo hoja bana. Ndio maana msukuma, mchagga, mkurya .,wakiongea kiswahili utaona kiimbo kimeelekea kwa mama!! Hutawaponda ati hawajui kiswahili, Iweje kwa viongozi ambao kiingereza ni lugha ya tatu? Tuweni fair!
   
Loading...