Rev. Kishoka
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 4,526
- 1,529
I must say that Wananchi mwakimbilia kutoa sifa tele, na kuona kana kwamba sasa kuna usuluhishi.
Naomba tupitie wajumbe hawa wa kamati na kujua kama kweli wataweza kuifanya kazi hii kwa umakini.
Mimi nitaanza na mwakilishi kutoka wizara ya Sheria. Maria Kejo ambaye ametajwa ndio mkuu wa ufuatiliaji upatanishi wa mikataba, ndiye yule yule alituletea IPTL. Alikuwa akifahamika kama Mary Ndosi au Maria Ndosi.
Mama Ndosi-Kejo, ameshatuhumiwa kuwa mshirika wa kusaini mikataba bomu kupitia ofisi ya Waziri wa sheria akishirikiana na aliyekuwa waziri wa sheria Andrew Chenge. Aidha, anatuhumiwa kuwa na mahusiano ya kimapenzi na Lowassa (refer to posings from BCS Times on IPTL).
Lingine, ni mahusiano yake na baadhi ya maafisa wa Wizara ya Ulinzi ambao walituingiza mkenge katika mkataba wa Vhalambia. Yeye kama mwanasheria alihusika na kusaini mikataba ambayo Serikali imepotea fedha.
Sasa kama yeye ndiye mkuu wa Mikataba ya Kimataifa, tumuulize alishauri vipi Serikali wakati Mkataba wa RDC, Buzwagi, Norway Oil, na mingine ambayo ilipitia ofisini kwake katika miaka karibu mitatu au zaidi ambapo yeye ndiye mkuu wa kitengo?
Jee tunahakika kuwa maslahi ya Taifa yatalindwa ikiwa mwakilishi wa Serikali aliyebobea katika Mikataba ya Kimataifa ana gunia kubwa la tuhuma?