JK Amteua Mjomba wa Vicky Kamata kuwa Mkuu wa Mkoa Mwanza

Status
Not open for further replies.

spencer

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
3,599
3,220
GreatThinkers,
Filamu anazocheza Jk ni zile zile ingawa zina Title tofauti. Ni kweli Mh. Ndikilo mkuu mpya wa mkoa wa Mwanza ni Mjomba wa Vicky Kamata ushahidi ninao

Sijajua ni kwa nini mbinu hii chafu anaiendekeza, leo hii naandika nikiwa Nairobi-Kitongoji cha Makadara.
Nikitua Bandari ya Salama itabidi nandike bango pale Magogoni ili akilisoma anijibu kupitia hotuba zake mwisho wa mwezi anazotayarishiwa na Mwimbaji wa Taarabu.
Nawasilisha.
 
Huu ni uzandiki mkubwa vijana wako mtaani kutwa na vibahasha mikononi wakitafuta kazi alafu bado watu wanapeana kazi kwa kuvuana chupi?this cant be serious,vijana hakikisheni mnajiandikisha kupiga kura na ipigieni CDM ili tukomeshe huu uzabizabina na umaruhani...kungurumende!
 
Serekali ya kifamilia,duh kweli maendeleo hapo mpaka karne ijayo.sisiemu kweli akili zao ni ziro brain na ni janga kwa mustakabali wa taifa
 
yani ulikuwa unaandika andika tu ilimradi unagusanisha vitu visivyoendana mradi uonekane unajua kitu kumbe hujui
 
kama kweli huyo mjomba wake nae anafuraia kupewa cheo kwa ajili ya mtoto wa dada yake kuvuliwa chupi na ******?hawa ndo uwalipizia visasi dada zetu wanapoenda kufanya interview kwa kwa kuwaomba ngono.
 
je angemteua Kaka yako? Ungeongea? Hizo ni chuki zilizopitiliza kiasi. Hata kama una ushaidi ni mjomba wake,ilo halituhusu wa-tz,tunachohitaji ni utendaji kazi. Hatutaki kujua mahusiano ya watu.
 
Njoo na uthibitisho kwamba alichoandika ni porojo, otherwise wewe ni mtoto wa huyo mkuu wa mkoa

ulichoandika ni porojo 2 kwan 2po kutazama utendaji..kwa hyo hata ndugu kwenye vyama mbalimbali nao wamechaguliwa kwa kisa cha undugu,au nikupe mifano?
 
GreatThinkers,
Filamu anazocheza Jk ni zile zile ingawa zina Title tofauti. Ni kweli Mh. Ndikilo mkuu mpya wa mkoa wa Mwanza ni Mjomba wa Vicky Kamata ushahidi ninao

Sijajua ni kwa nini mbinu hii chafu anaiendekeza, leo hii naandika nikiwa Nairobi-Kitongoji cha Makadara.
Nikitua Bandari ya Salama itabidi nandike bango pale Magogoni ili akilisoma anijibu kupitia hotuba zake mwisho wa mwezi anazotayarishiwa na Mwimbaji wa Taarabu.
Nawasilisha.

Ufafanuzi wa mambo mawili tafadhali. . .
1. Hapo kwenye bold na underline naomba maelezo. Maana kama kweli raisi wetu anaandikiwa hotuba na mwimba taarabu 'in real sense' si tu

kwamba ni aibu kwake bali kwa Taifa. Ni jambo ambalo politically hatuwezi kulivumilia na bado heshima ya nchi yetu ikawa salama

2. Kwa mjomba wa Vicky kuteuliwa huyo Vicky mwenyewe ambaye nahisi ndo mlengwa anafaidikaje? Anakuwa karibu zaidi na mkuu, anajitoa

zaidi au vipi? Nawasilisha
 
je angemteua Kaka yako? Ungeongea? Hizo ni chuki zilizopitiliza kiasi. Hata kama una ushaidi ni mjomba wake,ilo halituhusu wa-tz,tunachohitaji ni utendaji kazi. Hatutaki kujua mahusiano ya watu.

Old Noel, are you serious? Hivi ni sahihi kumpa mtu cheo kwa kuwa umemvua chupi mwanawe na wewe unaona ni sawa? Be mature man!!!!!!

Tiba
 
Kuna vitu ninaweza nikawa sivifahamu vizuri.
  • Kwani Rais ana personal interest gani special kwa Vick Kamata mpaka kuteuliwa kwa mjomba wake iwe topic ya kujadiliwa?
  • Huyu Mjomba wake Vicky aliyeteuliwa kuwa mkuu wa mkoa wa Mwanza ni nani hasa? Yaani amekuwa akifanya nini kabla ya kuteuliwa na Rais?
Nadhani nikipata ufafanuzi wa vitu hivi viwili vitaniwezesha (labda na wachangiaji wengine) ku-objectively comment kama uteuzi huu una walakini au la!
 
sawa kabisa ntemi! hebu mwaga cv ya huyo jamaa. there could be potential beyond dini yake na undugu wake na vicky kamata.
 
Sasa Vicky amemwomba Jk amuteu Mjomba wake au huyu mjomba wanafahamiana na Jk?
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom