spencer
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 3,599
- 3,220
GreatThinkers,
Filamu anazocheza Jk ni zile zile ingawa zina Title tofauti. Ni kweli Mh. Ndikilo mkuu mpya wa mkoa wa Mwanza ni Mjomba wa Vicky Kamata ushahidi ninao
Sijajua ni kwa nini mbinu hii chafu anaiendekeza, leo hii naandika nikiwa Nairobi-Kitongoji cha Makadara.
Nikitua Bandari ya Salama itabidi nandike bango pale Magogoni ili akilisoma anijibu kupitia hotuba zake mwisho wa mwezi anazotayarishiwa na Mwimbaji wa Taarabu.
Nawasilisha.