JK amtembelea aliyekuwa Mgombea wa nafasi ya VP wa TFF John Nchimbi MOI.

ningefurahishwa zaidi na jk kupitia wodi za amana,temeke n m'nyamala haswa za wazazi...

sikuwa kwa kweli nimepitia hapa kwa muda mrefu hasa kwa vile sikuwa na afya njema sana na kushindwa kuwa active ...............nimeandika kutoa masikitiko yangu hasa nikiwa kama mwanajamiiforums wa muda wa kutosha kwa wote mliochangia humu kujadili kutembelewa na rais na wengine hata maisha yangu bila ya kutoa hata pole, ingawa pole haiombwi lakini ni mila na destuli zetu.kwa kweli nimefadhaika sana.huu sio utamaduni wa mwafrika.........nilitumaini walau mngenitakia pole na afya njema ndio muanze kutwanga.any way naendelea kupona taratibu
 
Back
Top Bottom