JK ameshafanya Tour ngapi hadi saivi toka aapishwe?

spencer

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
3,599
3,220
Kama kawaida naskia siku anatoka kimya kimya, kuna ajuaye ashaenda nchi ngapi ili nijue pengine ndani miezi 60(5 years) atakuwa amesafiri nje mara ngapi.:plane:
 
Halafu mi napendeza tu, Membe ondolewe pale kwenye ile Wizara tuwe na RAIS atakayekuwa pia WAZIRI WA MAMBO YA NJE ili kupunguza gharama.
 
Halafu mi napendeza tu, Membe ondolewe pale kwenye ile Wizara tuwe na RAIS atakayekuwa pia WAZIRI WA MAMBO YA NJE ili kupunguza gharama.

true dat, we mkareeee! bonge la idea manake safari za raisi zimemzidi waziri wa mambo ya nje,
 
Bora libadilishwe kidogo hilo baraza la mawaziri.
 
Back
Top Bottom