JK amerudi porini Arusha kuna nini?

Kiranja

JF-Expert Member
May 19, 2007
751
336
Jamani nauliza, JK amerudi tena porini Arusha kuendelea na likizo, kuna nini? au ndio anapika mabadiliko? anayatoa lini? au ndi kuponda raha?
 
kama anapondea Home TZ hakuna MATATA....unless kiranja unataka ujue mambo ambayo si yako....Kama mabadiliko yapo just cool yanini ku-speculate?
 
Hivi bado mnamfatilia Muungwana,Mie nilishaacha.cha kufanya ni kupanga mikakati ya kuhakisha 2010 hapewi tena awamu nyingine,Mambo kama Kenya tu..
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom