Elections 2010 JK ame-promote Michezo Kipindi Chake: Mbona Hatuna Medal Delhi?

The Khoisan

JF-Expert Member
Jun 5, 2007
15,393
12,977
Kuna wakati ilisemakana kuwa JK ni mpenda michezo na akatuletea mpaka kocha toka Brazil. Sasa mbona maendeleo ya michezo kipindi chake hatujayaona. Angalia medal table, jirani zetu wote wana medal, worse enough Shelisheli na Mauritius pia wana medal lakini TZ nchi yenye population ya watu 45million tunashindwa kupata hata kamedal ka shaba. Hivi JK anafikiri suruhisho la michezo nchini ni kwenda kuangalia mpira uwanjani kila siku au kuleta kocha kutoka nje.

Nafikiri Slaa atakuja na mikakati bora kuliko hii. Chagua Slaa for Prez!!!


Commonwealth Games medals table
·Source: BBC Sport - Commonwealth Games medals table
 
TaTIZO TANZANIA RUSHWA NA UFISADI NDO VINATUSUMBUA FIKILIA KWENYE KILA ANGLE, UTAGUNDUA NI UFISADI TUU!
 
Back
Top Bottom