JK alitarajia kutesa kiulaini chaguzi hii sasa apigwa na butwaa... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK alitarajia kutesa kiulaini chaguzi hii sasa apigwa na butwaa...

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Rutashubanyuma, Oct 18, 2010.

 1. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #1
  Oct 18, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,748
  Likes Received: 416,225
  Trophy Points: 280
  Jk akitegemea historia kujirudia yenyewe alitarajia awamu ya pili itakuwa mteremko lakini siasa huwa hazitabiriki kabisa.

  Kinyume na matarajio yake amekutana na ghadhabu ya wapigakura wenye kiu ya kupata kiongozi makini sifa ambayo bahati mbaya sana hana..

  JK anafikiri uongozi ni kutukenulia meno yake ya bandia yaani "veneer teeth" lakini wapigakura wamemwonyesha ya kuwa uongozi si swala la sura ila ni la kuwa na uwezo wa kuwatumikia wananchi kwa unyenyekevu usio na mipaka...

  Sasa JK amepigwa na butwaa na hata ahadi zake lukuki wapigakura hawana imani nazo na swali wanalojiuliza ni kuwa ni kitu gani atakifanya ambacho miaka mitano iliyopita hakukifanya?

  Ni nini kilimzuia hayo yote anayoyaahidi sasa kutoyafanya hata theluthi moja kipindi chake cha kwanza.........

  JK yupo kimya juu ya vita vya ufisadi na misamaha ya kodi kutoka kwa wakubwa sasa hizo fedha atazitoa wapi?

  JK anawategema wamarekani ndiyo kutuletea maendeleo kweli hio ni sahihi? Maendeleo ya watanzania yataletwa na watanzania wenyewe wafadhili kazi yao ni kuongeza chachu tu na wla siyo vinginevyo................

  JK hayupo tayari kuongelea ahadi zake zitaligharimu taifa kiasi gani ili kuona ya kuwa kweli yuko makini na anachoongea.................Ukweli ni kuwa anajitamkia tu ili kuwarubuni wapigakura tu................

  Safari hii, JK atawafahamu watanzania kuwa siyo watu wa kuwachezea chezea kama watoto wadogo na kututishia na JWTZ amechochea petroli kwenye chaguzi hii... Vitisho vya JWTZ kamwe havitaweza hata siku moja kutumika kutuchagulia kiongozi tusiyemhitaji................

  Hamu ya wapigakura kumfunza adabu inaongezeka siku hadi siku na katika kipindi cha wiki mbili tutatoa hitimisho lake bila huruma hata chembe.............
   
 2. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  hahaaa JK analo mwaka huu
   
 3. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #3
  Oct 18, 2010
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Worse enough ameshindwa kabisa kujitransform na kuwa JK wa 2010. He's still in 2005 mode. Na anazidi kushangaa kila kukicha. Bado anafikiria the handsome card, or else "nyota yangu inang'aa".

  The guy is a big joke!
   
 4. Butola

  Butola JF-Expert Member

  #4
  Oct 18, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 2,221
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Mkuu sio haraka hivyo, joto lililopo sasa bado halitoshi kuivisha chakula, utawashangaa saana wapiga kura wa Tanzania pale matokeo ya vituo yatakapoanza kutolewa.
   
 5. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #5
  Oct 18, 2010
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,573
  Likes Received: 3,869
  Trophy Points: 280
  Nimekusoma!!!!??? wonder shall never end in Tanzania.
   
 6. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #6
  Oct 18, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,762
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Hakuna mkuu hii ngoma tayali imewiva! Jk kinamnukia tuu mwaka huu labda atumie mabavu!!
  eeeti anaahidi kujenga machinga complex zingine wakati hii iliyopo inaufisadi na haina jita kabisa! anasema atakuwa makini watu wasiuziane vyumba, alikuwa wapi mpaka wakauziana!??? Nonsense!
   
 7. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #7
  Oct 18, 2010
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,840
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  hAYA NI MATOKEO YA KUTEGEMEA NGUVU ZA MAJINI.YAMEDHIBITIWA NA WAPENDA MABADILIKO
   
 8. Tai Ngwilizi

  Tai Ngwilizi JF-Expert Member

  #8
  Oct 18, 2010
  Joined: Apr 20, 2010
  Messages: 781
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  nyumba zipi tena? mbona zote wameshauziana?
   
 9. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #9
  Oct 18, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  ..........mshangao mwaka huu hautakuwepo kwa sababu inajulikana kuwa masanduku ya kura yatachezewa.
   
 10. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #10
  Oct 18, 2010
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Huyu mtu mimi hata simuelewi. The fact kwamba kuna wamachinga ni tatizo. Wamachinga ni productive force wasted. Solution ni kuwafanya hawa wawe productive na walipa kodi wazuri.
   
 11. Mtoka Mbali

  Mtoka Mbali JF-Expert Member

  #11
  Oct 18, 2010
  Joined: Aug 11, 2010
  Messages: 238
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Namshauri huyu Mr Misifa Kikwete abwage manyanga mapema au la nguvu ya umma itafanya kazi yake tar 31 Oct.
   
 12. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #12
  Oct 18, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Katavi!wizi wa kura ni jambo la hatari,usifikiri ni jambo la kuzungumza kiutani tu!madhara yake ni makubwa sana!Let us play our part as well wishers of this country and await NEC to play its part!
   
 13. g

  guta Senior Member

  #13
  Oct 18, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 179
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  kama wachina wameshatoa msaada wa kujenga machinga complex, raisi yoyote ajaye atakamilisha, sio lazima ajenge yeye akiwa madarakani.
   
 14. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #14
  Oct 18, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Mimi nasubiri nione Kigoma itakavyokuwa kama Dubai na Mwanza kama Carlfornia
   
 15. Mundali

  Mundali JF-Expert Member

  #15
  Oct 18, 2010
  Joined: Sep 16, 2010
  Messages: 749
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Anaweza sema Dar kama Newyork. But how? The man has got no vision. Let us be serious, vote for changes, VOTE FOR DR. SLAA
   
 16. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #16
  Oct 18, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Aaaaah,me nataka mabadiliko natamani watu wafungue macho yao waone wanavo danganywa
   
 17. JOYCE PAUL

  JOYCE PAUL JF-Expert Member

  #17
  Oct 18, 2010
  Joined: Jan 8, 2010
  Messages: 1,007
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  pole sana uliyosema yote ni kinyume chake teh teh teh
   
 18. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #18
  Oct 18, 2010
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,202
  Likes Received: 1,007
  Trophy Points: 280
  .
  Mkuu napingana na wewe kwa hili kwani maneno haya ya mda bado yamekuwa yakitumiwa na wanapropaganda wa ccm. Kwa kila jambo kuna wakati na wakati wa kuipa ccm talaka ni huu. Sii tu kwamba joto la mageuzi nchini halitoshi kuivisha chakula ni kwamba limepanda kupitiliza hata kuunguza chakula. Na kadri siku zinavyosonga ndivyo joto linapanda kwa kas zaidi.
   
 19. N

  Nasolwa JF-Expert Member

  #19
  Oct 18, 2010
  Joined: Jun 12, 2008
  Messages: 1,830
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Jana katufunga kamba kwamba atajenga reli toka Tegeta hadi Ubungo. Na kueleza eti ujenzi wa njia ya mabasi yaendayo kasi umeanza kwa msaada wa World Bank??!! Wadau (pengine mimi tu sijui) hivi ni sehemu gani hapa DSM ulipoanzia huo ujenzi ili niakajionee mwenyewe
   
 20. Mtumishi Wetu

  Mtumishi Wetu JF-Expert Member

  #20
  Oct 18, 2010
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 4,984
  Likes Received: 425
  Trophy Points: 180
  Ndugu zangu safari hii mtu hachomoi. Safari imeiva, tunawaomba wazee wetu wana diplomasia kina mzee Salimu A Salimu, Mzee Malichela, Mzee Ruksa wasimamie haki ya Watanzania isichezewe maana mwanzo wa moto ni cheche. Kura zetu zisiibiwe jamani, kuwe na uwazi, haki na ukweli. Maana hatuna imani na watu wenye nyuso zilizo kakamaa na bila soni kwa wizi wa kimacho macho bila haya na kutetea vile vile hao wezi sugu. Hawa watu ni wakati muafaka wa kuwagalagaza. Naongeza wazo muhimu saana JAMANI EEHE POPOTE MLIPO TUOMBE TUPATE KATIBA MPYA ITAKAYO KIZI MATAKWA JAMII YA WATAWALIWA NA WATAWALA YENYE MISINGI YA DEMOKRASIA NA UTU. HILO NI MUHIMU SAANA KWA UKOMBOZI KAMILI WA WATANZANIA. TUSIZUBAE WACHA WAWEWESEKE LETU NI MOJA NI KUTOA HUKUMU YA HAKI TAR 31/10/2010. TANZANIA NI YETU SISI WATANZANIA NA VIZAZI VYETU YATUBIDI TUWAJIBIKE KWA UKOMBOZI WA NCHI HII.
  ''What counts is not necessarily the size of the dog in the fight -it's the size of the fight in the dog.
  Dwight Eisenhower"
   
Loading...