JK Alipogombea Urais Nilijua Hawezi Kuongoza Lakini Sikudhani Hawezi Kiasi Hiki!

Gosbertgoodluck

JF-Expert Member
Mar 3, 2008
2,855
401
Wandugu,
Mimi ni miongoni mwa wananchi waliokuwa na wasiwasi juu ya uwezo wa Jk kuongoza nchi. Kwa jinsi nilivyomfahamu, nilijua anauchukulia urais kama vyeo vingine alivyowahi kukalia. Kikubwa alichokuwa anakitafuta kilikuwa ni 'hadhi' na siyo kuwakomboa wanyonge wa nchi hii. Pamoja na kumshtukia tangu awali kuwa hawezi kuongoza sikutarajia kama uwezo wake kiuongozi ni mdogo kwa kiwango ninachoshuhudia sasa. Watanzania lazima tukiri tuna kiongozi wa ajabu. Baadhi ya wananchi wanasema uongozi wa mzee mwinyi ulipwaya lakini kwa maoni ya wengi sasa wanasema bora hata ya mzee mwinyi. Uongozi wa sasa siyo umepwaya tu, umepwaguka.
 
IMG_0006.JPG
 
View attachment 19989unaona TZ, but Dowans wanalipwa mabilioni haraka, bunge liko wapi?????????????? serikali italipaje mabilioni
bila bunge kupitishaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa????????????????? BUNGEEEEEEEEEEEEEE lipo silent au kwa kuwa speakeeer ni MAKINDAAAAAAAAAA???
 
Mi mwenyewe nilifikiri hivyo,nilijua uwezo mdogo but si kama huu..........na kinaumiza zaidi ni jinsi watanzania wa hali ya chini walivyomwamini na hadi kusema mi chaguo la Mungu......:smash:
 
Back
Top Bottom