JK aliingia kwa gia ya shehe yahaya; EL anataka kuingia kwa gia ya loliondo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK aliingia kwa gia ya shehe yahaya; EL anataka kuingia kwa gia ya loliondo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by The Prophet, Mar 19, 2011.

 1. The Prophet

  The Prophet JF-Expert Member

  #1
  Mar 19, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 682
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wenye akili zetu tunaelewa sana mazingaombwe yanayochezwa so far. mazingaombwe haya yamepata hata wapiga debe. magazeti ya mtanzania na jambo leo ndo yamekuwa watoa taarifa wa kila kinachoendelea kwa babu.

  tunasubiri siku tutakapoanza kupigwa changa la macho kwamba wote waliokunywa kikombe cha babu na kurejea salama makwao hawataonja mauti.

  yote haya kutafuta urais wa nchi. nchi ya wadanganyika.
   
Loading...