Lunyungu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 8,873
- 1,894
Wadau baada ya JK kupitishwa maana hakushinda uchaguzi kwa kuwa hakugombea hakuwa na mpinzani , aliamua kugawa saa za mkononi zenye picha yake.Mie niliikataa pamoja na kwamba Mimi ni mwana CCM kwa sikuona sababu na faida ya saa yenyw picha ya Kikwete.Najua kuna wana CCM wenzangu wanazo saa hizo akiwemo Nape naomba msaada wa kujua sababu za ugawaji huo wa saa .Je nayo ni rushwa ambayo JK amaedai kufa nayo na kwa nini saa 3000 pekee na si kwa wajumbe wa mkutano mkuu basi?