JK aligawa saa 3000 zenye picha yake kwa nini?

Lunyungu

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
8,873
1,894
Wadau baada ya JK kupitishwa maana hakushinda uchaguzi kwa kuwa hakugombea hakuwa na mpinzani , aliamua kugawa saa za mkononi zenye picha yake.Mie niliikataa pamoja na kwamba Mimi ni mwana CCM kwa sikuona sababu na faida ya saa yenyw picha ya Kikwete.Najua kuna wana CCM wenzangu wanazo saa hizo akiwemo Nape naomba msaada wa kujua sababu za ugawaji huo wa saa .Je nayo ni rushwa ambayo JK amaedai kufa nayo na kwa nini saa 3000 pekee na si kwa wajumbe wa mkutano mkuu basi?
 
Mmmm HIZO SAA zimetoka CHINA??? ni kwa MKOPO???
 
Kuna complex ya kutojiamini. Inajitokeza kwenye kujikombakomba, kujionyesha mkali, kutoa vizawadi ili wakutambue, kama unaweza kumbe unajijua huna uwezo huyo ndiye JK na complex zake za udhaifu.
 
Tusubiri hiyo ndani ya miezi sita kama Magula ataweza kumuwajibisha kwa hili.
 
Mkuu kama ni kweli ulikua eneo la tukio, kwa nini hukuuliza ilo swali wakati ugawaji huu unafanyika??

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Wadau baada ya JK kupitishwa maana hakushinda uchaguzi kwa kuwa hakugombea hakuwa na mpinzani , aliamua kugawa saa za mkononi zenye picha yake.Mie niliikataa pamoja na kwamba Mimi ni mwana CCM kwa sikuona sababu na faida ya saa yenyw picha ya Kikwete.Najua kuna wana CCM wenzangu wanazo saa hizo akiwemo Nape naomba msaada wa kujua sababu za ugawaji huo wa saa .Je nayo ni rushwa ambayo JK amaedai kufa nayo na kwa nini saa 3000 pekee na si kwa wajumbe wa mkutano mkuu basi?

kama sikosei wewe ulishasema ni CHADEMA humu i think ilikua 2010 au 2011

Lini umerudi CCM?? au ndio twanga kotekote??
 
Hizo si ndizo tunasema material corruption? Ila Mangula adui nambari one wa kambi ya upande mojawapo sijui utafanya lolote? Niliposikia tu wamekuteua ugombee nilitaka kuzimia!!! Yasije yakawa ni yala ya kukuleta karibu!!! Sidhani kwa mamo ya 2005 kama uko mioyoni mwa kambi fulani so be careful man!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom