Jk: Akutukanaye hakuchagulii tusi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jk: Akutukanaye hakuchagulii tusi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Wikiliki, Feb 7, 2011.

 1. Wikiliki

  Wikiliki JF-Expert Member

  #1
  Feb 7, 2011
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 529
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Wadau wakati wa maadhimisho ya miaka 34 ya ccm ktk hotuba yake nilimsikia JK akisema eti kwamba watu wanayesema anahusika na Dowans akutukanae hakuchaguli tusi,eti kwake kuambiwa anahusika na Dowans katukanwa. Pia hujui wenye Dowans. Jamani kama hajui wenye Dowans amepoteza uhali wa kuwa rais maana issue serious kama hii angetumia vyombo vyake kuchunguza. Hivi wadau ni nani anamshauri rais adi aseme maneno ya mtaani kwenye issue serious.
   
Loading...