JK akumbusha juu ya mwaliko wa Papa kuja Tanzania

Status
Not open for further replies.

Lunyungu

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
8,873
1,894
Jana usiku sana hapa ugenini nilipata kuona kwenye news za tano Tanzania ITV. Ndipo nikamuona balozi wa Vatican Askofu mkuu sijui nani katinga Ikulu na salaam za Papa lakini pia alikuwa ana aga anaelekea Japan ambako ndiyo kituo chake kimya. Katika maongezi yale JK alimwambia amkumbushe Papa juu ya Mwaliko wa kuja Tanzania .

Wakaonyesha na mapicha JK na mama Salma wakiwa Vatican. I hope mwaliko huu hautapingwa na wenzetu ila nimeshangaa kwa Balozi yule kusema Tanzania imejaa amani wakati anayaona ya Igunga nk.
 
Jana usiku sana hapa ugenini nilipata kuona kwenye news za tano Tanzania ITV .Ndipo nikamuona balozi wa Vatican Askofu mkuu sijui nani katinga Ikulu na salaam za Papa lakini pia alikuwa ana aga anaelekea Japan ambako ndiyo kituo chake kimya .Katika maongezi yale JK alimwambia amkumbushe Papa juu ya Mwaliko wa kuja Tanzania .Wakaonyesha na mapicha JK na mama Salma wakiwa Vatican .I hope mwaliko huu hautapingwa na wenzetu ila nimeshangaa kwa Balozi yule kusema Tanzania imejaa amani wakati anayaona ya Igunga nk .

Kaka huwezi kubishana na mjinga mwisho wewe pia utaonekana mjinga.VATICAN wanajua walivyodhalilishwa na jk KUPITIA SLOGAN YA udini.Lakini Roman Catholic ni taasisi kubwa haiwezi kuhangaika na JK ukweli utajulikana baadae na itakuwa aibu yake.
 
JK aliidhalilisha Catholic sana tu. Hajui afanyalo. Katoliki ni taasisi kubwa duniani, yeye JK wa kupita tu. Miaka mnne imebaki aondoke. Ameikuta na ataiacha. Jk ameambiwa kuwa Tz ni ya amani na izidi kutunza amani yake, hapo ni kama kumkumbusha na kumuonya kwa tabia yake ya udini anayoileta.
 
teh teh kwani igunga kuna nini kaka au wewe kelele za siasa zinakufanya useme hakuna amani????? au wewe amani una - i- define vipi?
 
Kama Igunga kuna amani kwanini msomali alipanda na silaha-bastola jukwaani? Na je huyo Asiha wa Sumbawanga alipiga risasi za nini? Je hiyo migari ya polisi iliyojaza maji na mi-FFU mingi yote ya nini?hiyo amani unayoilewa wewe ni ipi?nani kakwambia Tanzania kuna amani?nchi haiwezi kuwa na amani wakati kila kona magamba yanatoa harufu-abominable smell.

Masaburi jamani kweli hayawezi kutumika kufikiri
 
Karibu Papa TZ, wale wanaojifanya kimbelembele kwa Kikwete wakome. Hawajui kwamba nchi hii inaendeshwa na kanisa Katoliki? Njoo PAPA PAPA PAPA, njoo bongo. Uonane na Ustaadhi Mbukuzi, Sheikh Simba, Kundecha, Basaleh, Ponda na KILEMILE, kisha muamrishe Kikwete, “Hakuna mahakama ya kazi hapa…”
 
Jana usiku sana hapa ugenini nilipata kuona kwenye news za tano Tanzania ITV .Ndipo nikamuona balozi wa Vatican Askofu mkuu sijui nani katinga Ikulu na salaam za Papa lakini pia alikuwa ana aga anaelekea Japan ambako ndiyo kituo chake kimya .Katika maongezi yale JK alimwambia amkumbushe Papa juu ya Mwaliko wa kuja Tanzania .Wakaonyesha na mapicha JK na mama Salma wakiwa Vatican .I hope mwaliko huu hautapingwa na wenzetu ila nimeshangaa kwa Balozi yule kusema Tanzania imejaa amani wakati anayaona ya Igunga nk .

Balozi anaitwa Archbishop Joseph Chennoth. Ni raia wa India.

Anyway, KARIBU SANA TANZANIA KIONGOZI WA DUNIA.

bishop chennoth.JPG bishopchennoth.JPG
 
Msomali ni LIMBUKENI TU YULE
Kama Igunga kuna amani kwanini msomali alipanda na silaha-bastola jukwaani?na je huyo Asiha wa Sumbawanga alipiga risasi za nini?je hiyo migari ya polisi iliyojaza maji na mi-FFU mingi yote ya nini?hiyo amani unayoilewa wewe ni ipi?nani kakwambia Tanzania kuna amani?nchi haiwezi kuwa na amani wakati kila kona magamba yanatoa harufu-abominable smell.
Masaburi jamani kweli hayawezi kutumika kufikiri
 
Karibu Papa TZ, wale wanaojifanya kimbelembele kwa Kikwete wakome. Hawajui kwamba nchi hii inaendeshwa na kanisa Katoliki? Njoo PAPA PAPA PAPA, njoo bongo. Uonane na Ustaadhi Mbukuzi, Sheikh Simba, Kundecha, Basaleh, Ponda na KILEMILE, kisha muamrishe Kikwete, "Hakuna mahakama ya kazi hapa…"

Hawa wote ulio wataja kama Papa anakuja hapa hawatakuwa hata na nafasi ya kusema nao .Kumbuka yule jamaa ni Professoor na Kiongozi mkubwa mno Duniani .Hebu lete shule za hawa aliowataja kwanza tuone kama wanaweza kuongea lolote labda kupiga naye picha lakini si kufanya maongezi .
 
Jk kama kiongoz wa nchi ana sehemu yake.ila yeye hana chochote mana huyo papa ni mkubwa kuliko hata jk man ni rais wa nch na papa ni kiongoz wa dunia.nasikia hawa jama wana nguvu sana mana hawashindwi kitu
 
Kama Igunga kuna amani kwanini msomali alipanda na silaha-bastola jukwaani?na je huyo Asiha wa Sumbawanga alipiga risasi za nini?je hiyo migari ya polisi iliyojaza maji na mi-FFU mingi yote ya nini?hiyo amani unayoilewa wewe ni ipi?nani kakwambia Tanzania kuna amani?nchi haiwezi kuwa na amani wakati kila kona magamba yanatoa harufu-abominable smell.
Masaburi jamani kweli hayawezi kutumika kufikiri

Kama hakuna amani hama nchi yetu utuwachie wenyewe, ww waonekana kwanza sio raia !
 
Haka kajamaa sikapendi kutoka rohoni mwangu.Upapa kama instittution ndio uliopewa jukumu la kuunganisha dini zote na hatimaye kuwa na dini moja ya kishetani under the Anti-Christ.Pope Benedict is a 33 degree Freemason,atakuwa na lipi jema kwa Tanzania.
Jana usiku sana hapa ugenini nilipata kuona kwenye news za tano Tanzania ITV .Ndipo nikamuona balozi wa Vatican Askofu mkuu sijui nani katinga Ikulu na salaam za Papa lakini pia alikuwa ana aga anaelekea Japan ambako ndiyo kituo chake kimya .Katika maongezi yale JK alimwambia amkumbushe Papa juu ya Mwaliko wa kuja Tanzania .Wakaonyesha na mapicha JK na mama Salma wakiwa Vatican .I hope mwaliko huu hautapingwa na wenzetu ila nimeshangaa kwa Balozi yule kusema Tanzania imejaa amani wakati anayaona ya Igunga nk .
 
Haka kajamaa sikapendi kutoka rohoni mwangu.Upapa kama instittution ndio uliopewa jukumu la kuunganisha dini zote na hatimaye kuwa na dini moja ya kishetani under the Anti-Christ.Pope Benedict is a 33 degree Freemason,atakuwa na lipi jema kwa Tanzania.

acha uzushi wewe, duniani kanisa la katoliki ndilo la kwanza kupinga wanachama wake wasiwe freemason, ukiwa mwanachama wa freemason hautapokea komunyo, wala sakramenti yoyote na utatambuliwa kuwa ww sio mkatoliki. Hiyo degree ya 33 unafikiri kuipata ni hivihivi tu? Wenye degree hiyo wanafahamika. Obama mwenyewe hajaifikia! Nipe ushahidi kuwa papa ni mwanachama! Papa ni anti-freemason!
 
what is slogan ya udini unayomaanisha hapo maana unatuchanaganya sana sisi watanzania nadhani unaumia sana kuona rais ni muslamu kama ndivyo nadhani utaumia sana hadi utashikwa na madonda ya tumbo maana waislamu nao ni watz.NI VIZURI Unavyoandika jambo hapo hapa kwenye jf utoe ufafanuzi hasa pale unapogusa mambo ya dini na pia uelewe kuwa message yako inasomwa na watu wengi tena waliokwenda shule kwelikweli unlessotherwise ukae kimya
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom