JK akiri vyama vya upinzani vinazidi kuimarika

Ileje

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
8,796
12,239
Akihutubia katika kilele cha sherehe za miaka 36 tangu kuzaliwa kwa CCM, amewaasa wana-CCM kuendeleza mradi wa kuimarisha chama bila kutegemea ruzuku za wabunge kwa kuwa idadi ya wabunge wa CCM wataendelea kupungua kutokana na kuimarika kwa vyama vya upinzani!

Bila shaka JK ameanza kuona ukweli kuwa CCM iko ukingoni!

Hivyo naviomba vyama vya upinzani kukaza buti!
 
Sio kwamba ameanza kuona, alikwisha ona mwaka 2010 alivyohenyeshwa kwenye kampeni za uchaguzi mkuu hadi akaingiza kamati ya uchaguzi ya familia mwenyekiti akiwa mama Salma na mtunza hazima Ritz.

Jikumbushe hii!. JK aanguka,J.kikwete fall down while giving a speech - YouTube
 
Akihutubia katika kilele cha sherehe za miaka 36 tangu kuzaliwa kwa CCM, amewaasa wana-CCM kuendeleza mradi wa kuimarisha chama bila kutegemea ruzuku za wabunge kwa kuwa idadi ya wabunge wa CCM wataendelea kupungua kutokana na kuimarika kwa vyama vya upinzani!

Bila shaka JK ameanza kuona ukweli kuwa CCM iko ukingoni!

Hivyo naviomba vyama vya upinzani kukaza buti!

Wapinzani tukaze buti, ccm puresha inapanda inashuka, JK puresha inapanda inashuka, majangili presha inapanda inashuka!
 
Wezi kama Maige kule Msalala akibeba ma box ya kura za urais kama 2010 tutaua! Muda wa kuvumilia ujinga umeisha
 
ningemuona mkweli zaidi kwa kusema nguvu ya chadema inazidi kuimaliza ccm.sioni upinzani unaokua zaidi ya chadema
 
uzuri ni kwamba jamaa hana cha kupoteza sasa, 10years yake inaisha. hana chakuficha ndo maana anaweza sema haya hata hadharani. he has nothing to lose.
 
Ukweli anaujua,2005,walichakachua kura za Kamanda Mbowe na Pr.Mchumia Lipumba & 2010 wamebaka demokrasia kwa kumpora Dk Slaa kwa nguvu,isingelikuwa busara za Dk kungechimbika .WOTE WANALIJUA VYEMA YA KWAMBA MBELEKO YA DOLA NDO ILOWABEBA KWA 99.9%.
 
uzuri ni kwamba jamaa hana cha kupoteza sasa, 10years yake inaisha. hana chakuficha ndo maana anaweza sema haya hata hadharani. he has nothing to lose.
​Anataka kukumbukwa kama mkombozi na mleta maendeleo!
 
Naamini katika mabadiliko, na huu ni wakati ambao CCM inapaswa kutambua kua haina mvuto katika jamii.
 
hahaha kwa leo nitampongeza huyo Dr wa kichina kwa kujuwa ukweli na kuusema hadharani
 
Back
Top Bottom