Jk akiri Ajira kwa vijana ni bomu linalongojea kulipuka mda wowote ktk mkutano wa ADB | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jk akiri Ajira kwa vijana ni bomu linalongojea kulipuka mda wowote ktk mkutano wa ADB

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by dosama, Jun 1, 2012.

 1. dosama

  dosama JF-Expert Member

  #1
  Jun 1, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 786
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Source Nipashe

  Rais Jk amekiri ajira kwa vijana hasa katika nchi za Afrika ni tatizo na wanaonekana kama vile ni bomu ambalo linatarajiwa kulipuka mda wowote.

  Na amekwenda mbali zaidi na kusema ni tishio kwa watawala na viongozi walioko madarakani kwani vijana hao wanaweza kupindua serikali zilizochaguliwa kidemokrasia halahi kwa kuwa hawajatimiziwa matakwa yao.

  My concern;
  Wakati swaiba wake Lowasa aliposema alionekana mchochezi na akajibiwa na Kabaka fasta leo rais wao anakiri sasa sijui viongozi wetu wana akili za kusahau haraka kuwa kauli hizo walizipinga kwa nguvu sana na leo wanalamba matapishi yao
   
Loading...