JK akimpa zawadi ya kinyago Kaka baada ya mechi ya jana...

Kigogo

JF-Expert Member
Dec 14, 2007
20,508
6,146
mweee kweli kazi ipo..yaaani rais kavumilia weeee mpaka kaamua kutafuta kakinyago ili mradi apeane mkono na kaka!!!! haya na huyu Ridhwan kafuata nini sasa hapa?mhh kazi ipo kwa kweli

2ynqdyp.jpg
 
nilijua tu jk lazima aonane na kaka madhani hata yeye ana mkono ktk kuwaleta wale brazil
 
hahaha, sasa kama yeye anapenda boli, si mwacheni afurahie jamani, kwanini afiche hisia zake? mimi naona safi tu kwa rais kupenda mpira kiasi hiki...na huyo Ridhiwani..anafanana mno na dingi yake,kasoro ufupi sijui kachukua kwa mamake?
 
This is now a bit too much.
If at all it was very necessary for the Brazilian football player(s) to be given (a) carving(s) then that is a job that could have been done by the minister with the appropriate portfolio!!

Why does he have to stoop so low?

I won't be surprised to hear that the presidents family and the rest of his (unofficial) entourage were given free/complimentary tickets but TFF did not deem it a matter of importance to grant the same opportunity to the less fortunate mwananchi - what with the stadium being only half full (empty?)

I am waiting for one last excuse to hand in my green passport
 
Kwa sababu hawezi mambo ya mhimu hata haya nayo yamshinde? Mwacheni jamani mtani wangu afanye kazi
 
JK anayo nafasi ya kumshika mkono Kaka, yule dogo Kombo kawa mbunifu kwa kuingia uwanjani kafanikisha azma yake lakini bado ananyea ndoo central, Kova muachie huyo jamaa aendelee na shule hizo ni hisia kama anazoonyesha JK na Riz hapa.Utasikia JK kashuka bondeni sasa hivi nyi ngojeni tu.
 
Naskia almanusura na yeye JK aingie uwanjani amkumbatie Kaka ila yule jamaa alimwahi akaenda yeye.
 
Angekuwepo na Rhonadhino lazima nayeye angepewa chake.
JK bana wangekaa siku 2 lazima wangekaribishwa kula menu pale Magogoni.
 
the face or ridhwan in that pic made me cringe! yaaaakkkkkkkk


ppl y do u have to stoop so low?! Ushamba mtupu kuanzia raisi na waliomzunguka! aggggr
 
Hivi mmecheki mlango wa nyuma hapo, hii inamaanisha mkuu aliwafuata huko huko dressing room kwa hamu ya kuwaona badala ya wao kuja special VIP room.

My take: Hivi kwanini kikosi chake cha itifaki kisimuokoe/kumshauri katika issue za kujishusha kama hizi? au yeye ndiye mbishi?
 
"KILIMO KWANZA" hii shughuli hatuwezi, siye shughuli kwanza kama hii ya Brazil, Maarusi, kutoa wanawali, mikesha ya maombi nk. nafikiri bora tungesema "UTALII KWANZA" tukishirikiana na dada zetu ungetulipa fasta!
 
Moja ya mafanikio ya awamu hii ni kumfanya Kaka akanyage ardhi ya Bongo. Angalia mwenyewe,dogo kazidiwa na hisia kaingia uwanjani na mkuu wetu kajisikia katoa kinyago. Bongo tambalale.
 
Sasa naanza kuelewa kwa nini hata jirani zetu wanahoji uwezo wa kufikiri wa viongozi wetu! Rais kufuata mcheza soka dressing room kumkabithi kinyago! kweli? kweli? hata kama mchezaji ni maarufu kiasi gani!
 
hahaha, sasa kama yeye anapenda boli, si mwacheni afurahie jamani, kwanini afiche hisia zake? mimi naona safi tu kwa rais kupenda mpira kiasi hiki
Ni kweli Ubungox2
Bora tumeiona Brazil kwa hizo Bil 3 hata kama zingekuwa Bil 7 pouwa tu kwani mafisadi wanakula ngapi bana na tumekaa kimya tu na tunawapigia kura tena. Ileteni na Arsenal kama inawezekana
 
Kwa kweli hii inaonyesha Yule kijana aliokwenda kumkumbatia kaka uwanjani hakufanya makosa bora wamwuachie tu mpaka leo yuko ndani au Polisi wamkasilika alianza yeye kumshika kabla ya Wakubwa? Kaka mwenyewe alimkumbatia kwa furaha tu.
 
Back
Top Bottom