JK Ajiandae Kutupiwa Virago na Kusahaulika Mara Moja na Watanzania. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK Ajiandae Kutupiwa Virago na Kusahaulika Mara Moja na Watanzania.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Gosbertgoodluck, Dec 31, 2010.

 1. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #1
  Dec 31, 2010
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  WanaJF,
  Kwa maoni yangu, tangu uhuru wa nchi hii, watanzania hawajashuhudia uongozi wa nchi ukiyumba na gharama za maisha zikipanda kwa kasi kubwa, kama ilivyo sasa. Kadri siku zinavyokwenda ndivyo gharama zinavyoongezeka. Kwa mfano, kufuatia kupanda kwa bei ya umeme, gharama za bidhaa na huduma mbalimbali nazo zitpanda na mbebaji wa mwisho ni mwananchi.

  Ndiyo maana nahisi kwamba baada ya kipindi chake cha uongozi, wananchi watakuwa wamemchoka sana jk. Hivyo, badala ya kuagana nae kwa kushikana mikono ya kwa kheri, kama ilivyofanyika kwa marais wengine, yeye watamtupia virago aende akapumzike kijijini kwake na watamsahau mara moja.
   
 2. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #2
  Dec 31, 2010
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Wananchi wasijali sana GHARIKA yajo kipindi si kirefu sana tangu sasa ...
   
Loading...