bakuza
JF-Expert Member
- Nov 15, 2010
- 490
- 100
Mimi ni mwenyeji wa kule maafa ya mv Bukoba yalipotoke na ni mpandaji wa vyombo vya usafiri ktk ziwa hili jema tulilojaliwa na Muumba.
Nasikitishwa na hali ya usalama wa vyombo vyetu hivi. Maana hata MV VICTORIA ni hohe hae ktk hali ya uzima na usalama wa maisha ya watanzania wengine wengi.
Hivi ahadi ya Jk kununua meli nyingine ina maana ikiwa iliyopo hali yake ni mbaya? Acheni utumbo wa kuweka rehani maisha yetu.