Jk ageuka tyson, apiga ngumi....

JAPUONY

JF-Expert Member
Jul 16, 2010
383
186
kikweteafyaaa.jpg

 
Tena hukawii kukuta alikuwa anaongelea kilimo kwanza. Mr dream maker!!!

'' Tunaweka matrekta pale kila nyumba hivi, na tanni moja ya mbegu bora tunawapa kama mkopo wa pembejeo. Na kila mwanamke tunampa mtamba ili.wasigombee kipato. Kwani haiwezekani''
 
Thubutu! Hajaguswa anaanguka anguka utadhani ana kifafa ataweza masumbwi huyu? Sijui ni hayo ma eiaravii yao sijui. Mungu tuondolee balaa hili mapema.
 
Mwanza sijui atakuja lini tutest u tyson wake tena huyu jamaa kama amekomaa
 
Hapa ilikuwa siku ya mgomo wa wafanyakazi aliposema hataki kura za wafanyakazi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom