Jakaya Kikwete afungua shule mpya ya msingi Msoga

BLUE BALAA

JF-Expert Member
Nov 30, 2010
1,222
764
Mh Rais ameonekana akifungua shule mpya ya msingi Msoga iliyojengwa kwa msaada wa wachina. I tought the opening could be done by DEO, DC, RC au basi waziri wa elimu. For me this is misallocation of resources as there are lot of sensitive issues going on in the country tha needs his concetration

Source - TBC taarifa ya habari saa mbili usiku.
 
Yangu macho..... mgomo UDOM Dr. mbiooo,. kufungua primary skuli...... mmmhhhhh, kweli kiongozi tunaye!!!
 
Muache tu awahimize wakwere wenzie badala ya kumtoa mwali kwa ngoma atleast wawe wanashinda kwenye elimu mboovu anayoijenga................
 
Yaani jamaa anaonesha alivyochoka .....hivi ana washauri kweli...hao akina Salva wanafanya nini???????????
 
Mh Raisi ameonekana akifungua shule mpya ya msingi Msoga iliyojengwa kwa msaada wa wachina...... For me this is misallocation of resources as there are lot of sensitive issues going on in the country tha needs his concetrat.

Jamani, ndicho anachoweza huyu Mkulu!
 
Ameamua akijenga kwao ili akitoka madarakani, wa kwao wamkumbuke kwa kupaendeleza! Kwanini asiwapeleke wachina wakajenge shule kule Sangamwalugesha wilayani Bariadi. Kila kitu utasikia Msoga au Bagamoyo ama Kibaha, amekuwa anakusanya rasilimli za taifa anapeleka kwao. Hatuna Kiongozi mpaka miaka mitano ije iishe, tutakuwa tumeshika adabu yetu!
 
Una hakika utampata baada ya miaka mitano? Hahahaaa pole, miaka mitano ni mingi
 
Jamaa kwenye birthday alitangaza anajenga nyumba yake ya kuishi msoga after akistaafu so naona ameamua kuwajengea na shule kabisa wajukuu zake wasisome mbali...! hata hivyo angemuachia riz1 akaifungue yee adeal wit more sensitive issuez...!:ban:
 
Mh Raisi ameonekana akifungua shule mpya ya msingi Msoga iliyojengwa kwa msaada wa wachina. I tought the opening could be done by DEO, DC, RC au basi waziri wa elimu. For me this is misallocation of resources as there are lot of sensitive issues going on in the country tha needs his concetration

Source - TBC taarifa ya habari saa mbili usiku.

Hata mie nilipoona hili tukio nimeshindwa kushangaa hadi nimejiuliza yafuatayo:
* huyu rais yupo pabaya, yaani migomo na maandamano ya wasomi UDOM, na maslahi ya vyuo anaogopa kukanyaga kujadili nao anaibukia kwa chekechea na primary?
* swali la pili, hivi kweli pamoja na hela nzito apatayo kwa mafisadi anashindwa kujenga kwao hata chuo kukuu hadi hata chekechea na primary msaada wa wachina?
* Mbona huyu jamaa anapenda misaada sana? ndani ya wiki anapokea double, ya jeshini-chuo cha kunduchi na leo primary? hivi hana lolote amebuni toka ktk rasilimali zetu au ndizo wanagawana na mafisadi tu?
* kumbe hata na UDOM msaada!
 
hapo umenena not yet uhuru.kazi tunayo. tunsdubiri hsyo msjins 40 walaiyopewa wikileaks leo ya viongozi ambao wameficha pesa zao Uswizi kukwepa kuzilipia kodi....
 
[hapo umenena not yet uhuru.kazi tunayo. tunasubiri hayo majina 40 waliyopewa wikileaks leo ya viongozi ambao wameficha pesa zao Uswizi kukwepa kuzilipia kodi
 
Mh Raisi ameonekana akifungua shule mpya ya msingi Msoga iliyojengwa kwa msaada wa wachina. I tought the opening could be done by DEO, DC, RC au basi waziri wa elimu. For me this is misallocation of resources as there are lot of sensitive issues going on in the country tha needs his concetration

Source - TBC taarifa ya habari saa mbili usiku.
Mbona mnakua hamuelewi siasa za nchii nyie vijana??
Shule imefunguliwa sambamba na uuzwaji wa migodi yetu ya makaa ya mawe na yale ya chuma liganga kwa wachina....So hilo limefanyika ili mtie saini haraka wachimbe makaa ya mawe na kuyatumia kuyeyusha chuma then wasafirishe iron ore kwenda china wakatengeneze nondo na mabati then wafanyabiashara wenu uchwara wa kariakoo waende wakanunue nondo na mabati kule hong kong waje kuwauzia kilanguzi.
KARNE HII LAZIMA MTIE AKILI.....Sijawahi kuona nchi yenye viongozi vilaza kama tz!!!!!
Unabinafsisha chuma, madini, gas, crude oil....mh!!! Iko siku watabinafsisha mpaka wake zetu.
 
vView attachment 20702

Wawakilishi wa NDC (kushoto), wakiwa tayari kufanya majadiliao na wawakilkishi wa kampuni ya China ya Sichuan Hondga, eo katika ukumbi wa DICC mjini Dar es Salaam.
 
Back
Top Bottom