elimukwanza
Senior Member
- Dec 27, 2010
- 168
- 23
Katika hali inayoonyesha kujihami zaidi na kutegemea nguvu za dola serikali ya Tanzania imeendelea kuboresha masilahi ya Askari Jeshi huku watumishi wengine na wananchi wakiwa hoi.Inaelezwa kuwa mwanajeshi analipwa House allowance 500,000 ambayo haijumuishi kwenye mshahara hivyo kwao hii hali ngumu ya maisha ni msamiati.Ni wazi kuwa Jk sasa kaona wananchi wamepoteza imani kabisa na serikali yake hivyo suluhisho ni kuwa karibu na jeshi. Hii ndiyo tatizo lkubwa la viongozi wa Africa kutegemea vyombo vya dola kwa gharama yeyote ile.just imagine walimu wanavyopata taabu vile huku wana kazi kubwa ya kutoa wataalam halafu serikali imeamua kupeleka keki ya Taifa jeshini why?