JK achimba mkwara MAWAZIRI wapya..

mstahiki

JF-Expert Member
Jul 14, 2007
308
5
Nadhani mtakumbuka baada tu ya kuchaguliwa Urais alilihutubia Bunge..na kusema "tusije tukalaumiana baadae"...Habari nilizozipata zinasema kwenye hiki kikao ameonya na kuaasa wale wote ambao watakaozembea..na amewaambia wizara zao na kuwauliza kama wataweza..na kukazia kuwa kuboronga kazi zao sio tu kutavunja moyo wananchi bali kita icost chama ghalama kubwa sana maana wananchi wanamatumaini makuwa na serikali yao.

TEGENI SIKIO
 
Kwa sasa niko dar,ila nitaelekea Dodoma,muda Mfupi baada ya Rais Kutangaza Baraza la Mawaziri kujua nini kitajiri katika Makatibu wakuu wa wizara,Mwansiasa yuko dodoma naamini atatupa Feedaback.

kwa source zangu,inaonekana kuna usiri mkubwa katika baraza la jipya la Mawaziri,na limechangiwa na kuanguka kwa Lowassa.

WAtu wote ambao wanatakiwa kuwa Mawaziri wapo na simu zao hazijazimwa,Nimeweza kuwasiliana na Mawaziri na manaibu waziri waliopita na wenyewe wanajidahi hawajui kama watabaki ila wanasema wanauhakika kuwamo.

kuna habari za jana jk kutea watu ambao si wabunge kuwa Mawaziri,ila habari hizi zilimshtua Jk na nasikia akaamua kubadili na atawapa madaraka Mengine ikiwamo Ukatibu Mkuu katika Wizara.
 
Admin, kwa nini huyu bwana asifungiwe kwa muda mpaka hapo balaza litakapotangazwa.
 
Nadhani mtakumbuka baada tu ya kuchaguliwa Urais alilihutubia Bunge..na kusema "tusije tukalaumiana baadae"...Habari nilizozipata zinasema kwenye hiki kikao ameonya na kuaasa wale wote ambao watakaozembea..na amewaambia wizara zao na kuwauliza kama wataweza..na kukazia kuwa kuboronga kazi zao sio tu kutavunja moyo wananchi bali kita icost chama ghalama kubwa sana maana wananchi wanamatumaini makuwa na serikali yao.

TEGENI SIKIO

Msitahiki nadhani umeamua kutuvuruga sasa .Unketa habari zinazo fanana na hazina maana kwa kweli .JK anawachimbia mkwara mawaziri wapi ambao hajatangazwa ala kujulikana ? JK yuko kwenye conclave wewe umezipata wapi hizi habari?
Kumbuka tuko Dodoma only for that na hatupati kitu .Si vyema kuwapa watu hapa ukumbini wakati mgumu .Naomba afungiwe huyu mtu Mods please
 
jamani acheni kujitungia habari humu ndani,hakuna mtu alieitwa ikulu ya chamwino kuwa ameteuliwa kuwa waziri.

KINACHOJIRI HUMU NDANI SASA NI KUPIGANA FIX ZA KIJINGAJINGA TU, JANA NILIHOJI NA LEO NIMEHOJI ILA MAJIBU YA WATU WETU WA KAZI HAYAKULENGA KUKIRI KUZIDIWA NA USIRI HUU , NADHANI TUSIPOTEZE MUDA KUKAA ONLINE HUMU WAKATI HAKUNA JIBU.

KIFO CHA WANAMATANDAO NI MWISHO WA LEAKAGE OF INFOS ZA WAKUU.
 
Jamani Naombeni Nitamke Nipo Dodoma, Toka Saa 2 Asubuhi Nimekuwa Nazunguka Zunguka Hapa Mjini,nimetumia Mafuta Ya Shiling 17000 Kuzunguka Mjini, Unaweza Ukaimagine Ni Mizunguko Ya Kiasi Gani Nilikuwa Nayo , Yote Hii Ni Katika Kutafuta Habari Hapa Na Pale.lakini Katika Kote Nilikozunguka Sijaona Mtu Yoyote Kuitwa Wala Kuwa Na Kikao.ila Kinachoendelea Hivi Sasa Ni Kuwa Jk Ana Kikao Cha Siri Na Viongozi Wakuu Wa Nchi(sio Mawaziri Wateule). So Namtaka Huyu Bwana Mstahiki Usitupotoshe Kwa Habari Zisizo Za Kweli.iweje Rais Awape Mwongozo Mawaziri Wake Kabla Hata Hajawateua??we Bwana Mstahiki Una Masihala Sana .hichi Kika O Kinafanyikia Wapi?na Saa Ngapi Kilifanyika?acha Mzaa Kabisa Bwana... Hii Jambo Forums Ni Sehemu Ambayo Inaheshimika Sana Hata Kwa Wakubwa Wenyewe
 
Kama hutajali naomba tuonane uso kwa uso .Niko Dodoma pia .Huyu Msitahiki nadhani kachoka tu .
 
Naona MSTAHIKI Umeamua kuwa MSHAIRI au kwa jina jingine tukuite MANJU.
Watu tunasubiri kusikia yaliyojiri,lakini umeamua kuwa stadi wa kutunga na kuimba nyimbo kuwa JK achimba mkwara,mara baraza limekutana kwa siri n.k

Haya endelea kutunga na kuimba wimbo wa baraza jipya la mawaziri
 
Jamani Naombeni Nitamke Nipo Dodoma, Toka Saa 2 Asubuhi Nimekuwa Nazunguka Zunguka Hapa Mjini,nimetumia Mafuta Ya Shiling 17000 Kuzunguka Mjini, Unaweza Ukaimagine Ni Mizunguko Ya Kiasi Gani Nilikuwa Nayo , Yote Hii Ni Katika Kutafuta Habari Hapa Na Pale.lakini Katika Kote Nilikozunguka Sijaona Mtu Yoyote Kuitwa Wala Kuwa Na Kikao.ila Kinachoendelea Hivi Sasa Ni Kuwa Jk Ana Kikao Cha Siri Na Viongozi Wakuu Wa Nchi(sio Mawaziri Wateule). So Namtaka Huyu Bwana Mstahiki Usitupotoshe Kwa Habari Zisizo Za Kweli.iweje Rais Awape Mwongozo Mawaziri Wake Kabla Hata Hajawateua??we Bwana Mstahiki Una Masihala Sana .hichi Kika O Kinafanyikia Wapi?na Saa Ngapi Kilifanyika?acha Mzaa Kabisa Bwana... Hii Jambo Forums Ni Sehemu Ambayo Inaheshimika Sana Hata Kwa Wakubwa Wenyewe

Mkuu heshima mbeleee.... JF should and will always be reliable... huyu Mstahiki anapotosha jamii!!

Hatuko hapa kufanya masihara wala kutafuta sifa kwa watu...
 
Kama hutajali naomba tuonane uso kwa uso .Niko Dodoma pia .Huyu Msitahiki nadhani kachoka tu .

We hiyo si vyema maana humu inatupasa tuaminiane kwa vyanzo vyetu na si nyuso zetu.
moderators naunga mkono kuwa Mstahiki atatuletea shida baadae kwani anaonesha ni mpishi mzuri wa habari zisizo na ukweli kama alivyo Asha. Afungiwe mpaka kesho jioni maana nina mashaka atatutibua tena jioni ya leo kuwa amefanya kikao na PM halafu pakawa hapatoshi hapa....
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom