JK acha kujipendekeza, wameshajua uswahili wako! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK acha kujipendekeza, wameshajua uswahili wako!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Bless the 12, Jun 5, 2011.

 1. Bless the 12

  Bless the 12 Member

  #1
  Jun 5, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 61
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hivi karibuni nimeona msururu wa kujipendekeza kwa rais kwenda kwenye sherehe za kikristo. Nadhan Jk anajipendekeza tu kwa wakristo maana ameshajua ameriharibu mwenyewe kwa kutengeneza vita ya kidini. Sasa hivi kila kukicha anatafuta wapi wakristo wana sherehe, hahahaaa hata hana aibu kwani mbona haendi kwa masheikh wake au wamekufa ndo maana anatangatanga! Kwa kuwa ulinzi haupo tena.

  Rais usijiaibishe kama mtoto mdogo, sie tumeshamgundua upuuzi wako unataka kutupumbaza eti uko karibu na wakristo ili baadae ahakikishe 2015 uweke muislamu. Hakuna mtoto mdogo siku hizi, umeshafulia!!

  We fanya maendeleo ya nchi tu ndo tukupime vizuri.
   
 2. Nyami2010

  Nyami2010 JF-Expert Member

  #2
  Jun 5, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 227
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  most urgent: Mods, please take this thread out!


  threads of this nature should always be trashed, please!
   
 3. tanga kwetu

  tanga kwetu JF-Expert Member

  #3
  Jun 5, 2011
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 2,165
  Likes Received: 1,125
  Trophy Points: 280
  nimekugongea thanks,mkuu!!

  hata aendeshe liturujia bado kichapo kinabaki palepale sio kwa didni yake bali kwa poor performance yake kama Rais wa JMT!!
   
 4. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #4
  Jun 5, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  hahah na sasa hivi yupo mbinga kuhudhuria kusimikwa kwa askofu, jimbo katoliki
   
 5. Gwota

  Gwota JF-Expert Member

  #5
  Jun 5, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 205
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  kaishiwa sera huyu, dawa wasimualike tena kwenye sherehe zao
   
 6. nkasoukumu

  nkasoukumu JF-Expert Member

  #6
  Jun 5, 2011
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 694
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 60
  Yeye si ndio alituma watchdog wake waseme kua dr slaa ni padre wa kikatoliki, mbona anaenda kwa ma padre tena
   
 7. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #7
  Jun 5, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  jitu la ovyo lile!!!!
   
 8. Omutwale

  Omutwale JF-Expert Member

  #8
  Jun 5, 2011
  Joined: Feb 4, 2008
  Messages: 1,429
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Jamani, ni vema kudadisi jambo na kulijua kiundani kabla ya kusema au kuandika. Tujiulize huyo JK kwani huwa anajialika?
   
 9. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #9
  Jun 5, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  abatizwe awe mkristo
   
Loading...