Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuwatoa kafara wala rushwa. Source - gazeti mwananchi.
Kuwatoa kafara wala rushwa. Source - gazeti mwananchi.

<br / hivi KUMTOA MTU KAFARA inamaana gani????safi sana mr presidaa hakuna kubebana tena imetosha sasa kila mtu na msalaba wake kila mtu na aibu yake nimefarijika sana kuona utekelezaji wako usiwaonee haya watose wote aftreall u have nothing to loose zaidi utaongeza upendo kutoka kwa watz woote big up saaaannnnnaaaaa
Hili ndio swali la msingi!
<br / hivi KUMTOA MTU KAFARA inamaana gani????

Kuwatoa kafara wala rushwa. Source - gazeti mwananchi.
Kuwatoa kafara wala rushwa. Source - gazeti mwananchi.
Halafu yeye atajificha wapi?
Kama ni hivyo basi aanze na yule mshikaji wa suti za mwarabu, chumba cha wangeni pale Kilimanjaro na $1m kwa ajili ya kampeni ya chama chao!!
safi sana mr presidaa hakuna kubebana tena imetosha sasa kila mtu na msalaba wake kila mtu na aibu yake nimefarijika sana kuona utekelezaji wako usiwaonee haya watose wote aftreall u have nothing to loose zaidi utaongeza upendo kutoka kwa watz woote big up saaaannnnnaaaaa
Kilichoniuma sana si kununuliwa suti 5 tu, bali amenunuliwa na mwanaume mwenzie tena MWARABU!

aanze na wale wanaopokea rushwa za suti