JK aanza kunyooka..

KadaMpinzani,

Unaweza kutoa source/link ya hii habari? Kwa sababu habari hii haionekani kwa electronic media nyingine kwa siku za jana na leo, ingawa pia hata hiyo picha tu inaonyesha ilipigwa wakati wa kampeni 2005.

Ninavyofahamu Rais alikuwa Singida, kwa ziara ya siku tano, kwenye mwezi wa April,na kipindi hiki ndipo alifanya ufunguzi na ukaguzi wa hizo barabara (Dodoma-Singida-Shelui) na wiki hii alikuwa Arusha kwenye Mkutano wa Sullivan. Huko Singida ameenda lini tena ?

Nachelea kuamini kama utakuwa umeiweka habari kwa ajili ya madhumuni yako binafsi.
 
je una sources zote za mitandao ?? i dont think so..hapana, sijaandika kwa madhumuni yangu, jk simfahamu, hanifahamu..sina hata mazoea nae.. subiri nitafute link nitakupa!
 
Back
Top Bottom