Jk aanza kumuandaa mrithi wake wa kiti cha urais ccm

Hapa mchangia nini wakuu yani mtu akiibuka na jambo lolote la kujitungia mnaifanya topic! huu ni uongo wa pasi na shaka lasivyo alete ushahidi!
 
wako kumi na mbili wanaoutaka urais! jk hata akiandaa yatamshinda, kila mmoja na mikakati mizito...
 
Angalieni sana mwenendo wa STEPHEN MASATU WASSIRA uteuzi wa jk na majukumu aliyopewa
 
Hata Julias Nyerere Mkatoliki alie topea, aliiongoza Nchi hii kwa miaka 24 peke yake huku akiwa kasahau kabisa kuwa UHURU ulipiganiwa na Waislamu jee ni kosa Kwa Muislamu Kuongoza tena Baada ya JK Kumaliza Muda wake.
 
Msiogope,kwani hatakuwa na uwezo wa kufanya hivyo hasa ukichukulia na nguvu ya upinzani(chadema)itakayokuwepo.CCM/Tanzania;aliyekuwa na uwezo wa kuweka mtu anayemtaka kuwa Rais ni Nyerere tu.Mbona inavyosemekana Mkapa alikuwa na mtu wake,lakini yalimshinda na mwisho ikabidi akubali tu kuongozwa na Kikwete!
 
Kuna tetesi kuwa J.K ameweka watu wawili ambao kati ya hao, mmoja wao aje kuwa mrithi wake. Watu inasemekana kuwa ni Dr. Asha Rose Migiro na Dr Hussein Mwinyi. Wana JF mmeisikia hiyo??

Ndio tumeisikia sooo what?
 
Hata Julias Nyerere Mkatoliki alie topea, aliiongoza Nchi hii kwa miaka 24  peke yake huku akiwa kasahau kabisa kuwa UHURU ulipiganiwa na Waislamu jee ni kosa Kwa Muislamu Kuongoza tena Baada ya JK Kumaliza Muda wake.
 
Hata Julias Nyerere Mkatoliki alie topea, aliiongoza Nchi hii kwa miaka 24 peke yake huku akiwa kasahau kabisa kuwa UHURU ulipiganiwa na Waislamu jee ni kosa Kwa Muislamu Kuongoza tena Baada ya JK Kumaliza Muda wake.
Hivi lini Tanzania ikawa Lebanon?
 
kwa taarifa nilizonazo za kiintelijensia ni kuwa mrithiwa Jk ni SHAMBWE SHITAMBALA
 
Kama ni udini, basi hakuna mwislam alipotawala kwa matakwa ya uislamu. Ukibisha shauri yako! CCM na katoliki (catholic = universal) hawawezi achana. Mwuulizeni kila aliyekuwa katibu mkuu wa ccm. Yusuph Makamba waislam wakereketwa wa udini wakamwia "joseph" na huyu wa sasa Mukama juzi karipoti kwa muadham Pengo. Hat aje Asha-rose au Hussein mwinyi hawatoki kwenye mikono ya wakatoliki. Vatican ni nchi ndogo lakini yenye balozi nchi karibu zoteuniani wakati marekani wameshindwa
 
Msijisumbue, nji hii rais anayekuja ni Ngoyai. Ataingia na gia ya mgombea binafsi pale katiba itakapobadilishwa. CCM hata wakimtema, atatumia pesa za Dowans, EPA na zinginezo walizokwapua na kina RA hadi ashinde. Bado anajitahidi kutunza connection huko mawilayani kwa wakurugenzi kwani wengi wako through his connection. Nawasilisha
 
Hapa mchangia nini wakuu yani mtu akiibuka na jambo lolote la kujitungia mnaifanya topic! huu ni uongo wa pasi na shaka lasivyo alete ushahidi!

hizi tetez zimeenea, tena anahoja kuu mbili ya kwanza kwa Migiro ni kuwa atatumia kigezo cha kuwa sasa ni zamu ya wanawake nchih imetawaliwa na wanaume toka uhuru, hoja hii ikipingwa ataibuka na mambo ya mungano atasema jaman imepita miaka 20 toka raisi atoike zanzibar hivyo zamu yao hapo ataingia dr. mwinyi!
 
Back
Top Bottom