Jk aanza kumuandaa mrithi wake wa kiti cha urais ccm | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jk aanza kumuandaa mrithi wake wa kiti cha urais ccm

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mpendwa, Jun 13, 2011.

 1. Mpendwa

  Mpendwa Member

  #1
  Jun 13, 2011
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna tetesi kuwa J.K ameweka watu wawili ambao kati ya hao, mmoja wao aje kuwa mrithi wake. Watu inasemekana kuwa ni Dr. Asha Rose Migiro na Dr Hussein Mwinyi. Wana JF mmeisikia hiyo??
   
 2. Kaka Mpendwa

  Kaka Mpendwa JF-Expert Member

  #2
  Jun 13, 2011
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 771
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  mkuu mbona umeiba jina langu la zamani??

  Ningejua ningeweka hati miliki..
   
 3. notmar

  notmar Member

  #3
  Jun 13, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 81
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  saafi sana! mzee silaha asome alama za nyakati mapema agombee ubunge kama mrema.la sivyo atapoteza maji ya moto na unga.mshaurini jamani..................
   
 4. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #4
  Jun 13, 2011
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Hizo ni ndoto tu tunamjua mgombea wa CCM ni Ngoyai. Usitudanganye
   
 5. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #5
  Jun 13, 2011
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Umevuta au umekunywa nini mchana huu?
   
 6. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #6
  Jun 13, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,364
  Likes Received: 3,129
  Trophy Points: 280
  Hii ndiyo maada?

   
 7. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #7
  Jun 13, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,840
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  Tumesikia JK kaahidi hawezi kukabidhi nchi kwa Mkristu na hasa mkatoliki.Kaazi kweli kweli
   
 8. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #8
  Jun 13, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  kwani kati ya hao waaili ninani unamuona wakumzidi DR au MABANGI YANAKUSUMBUA KICHWANI!
   
 9. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #9
  Jun 13, 2011
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Inategemea uelewa (or the absence of it) wako. Ungesoma post ya yule niliemuuliza hivyo usingeuliza hilo swali lako.Btw: na wewe mchana huu umevuta au kumekunywa nini hadi usielewe mantiki iliyopo? It's plain kiswahili!
   
 10. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #10
  Jun 13, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Kuna thread zinaadikwa ki udaku udaku na wachangaijia wakianza kuingiza udaku udaku wa dini sijui kabila basi ndo hapo tunakuwa great sinkers badala ya great thinkers.
   
 11. h

  hans79 JF-Expert Member

  #11
  Jun 13, 2011
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 3,802
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 145
  heko great kimeo
   
 12. Michese

  Michese JF-Expert Member

  #12
  Jun 13, 2011
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 371
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Sawa kabisa
   
 13. Michese

  Michese JF-Expert Member

  #13
  Jun 13, 2011
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 371
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Sawa kabisa wanakurupuka tu na udini /ukabila,hatuchagui dini wala kabila tunataka mtu aliyeiva na muelewa wa matatizo ya nchi hii na ufumbuzi wake
   
 14. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #14
  Jun 13, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280
  mmemsahau first lady wetu, anajiandaa kugombea auraisi anafuta nyayo za raisi wa ajentina kwa sasa na mgombea uraisi wa ghana mke wazamani wa rasi gey wa ghana.

  First lady yuko kwenye mkakati mkubwa sana. Na wama yake.
   
 15. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #15
  Jun 13, 2011
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Nakukumbusha tena, mgombea wa CCM ni kipenzi cha CCM yaani LOWASA
   
 16. Mkwawa

  Mkwawa JF-Expert Member

  #16
  Jun 13, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 1,290
  Likes Received: 193
  Trophy Points: 160
  Nachukia tena nachukia sana mambo ya udini, ukabila, ukanda . Huku ni kufilisika kwa akili. Nachukia tena inatia kichefu chefu. Inatusaidia nini kutatua matatizo yetu kama Taifa. Naona bila kujali haya mambo ya mufilisi tujadili jinsi ya kuikomboa nchi kiuchumi.
   
 17. Mpendwa

  Mpendwa Member

  #17
  Jun 13, 2011
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nadhani wengi wetu hatujui hila alizo nazo huyu J.K. Hata kama hatutaki udini lakini huyu jamaa ndiye pandikizi la udini hapa nchini. Ila kwa taarifa yenu, ameapa kuwa kwa kuwa Nyerere alitawala miaka isiyopungua 20 na mkapa 10, na yeye atahakikisha waislamu wana tawala miaka isiyopungua 30, mwinyi 10, yeye 10 na atakeyekuja 10 ndipo waanze kufikiria waendelee au vipi. Taznania hatuhitaji udini, undugu tuliokuwa nao umetusidia sana. Mimi mwenyewe nikiwa mtu wa karibu sana wakuu wa nchi hii serikalini najua ninachosema ninini. Me pia ni musilamu lakini kitu hiki sikipendi kwani nataka kiongozi wa maslahi ya wananchi na sio dini. Dini tuwaachie mashehe na wachungaji basi.
   
 18. a

  alpha5 JF-Expert Member

  #18
  Jun 13, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 209
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  huu udini mnaoungea sithani kama utauponya tz hii
   
 19. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #19
  Jun 13, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Yah hata mimi nimesikia tetesi hizo! Bt hataweza coz Migiro sidhani km anaakil ndogo yakuendana na mawazo ya huyo bwana!
   
 20. Alwatan

  Alwatan JF-Expert Member

  #20
  Jun 13, 2011
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 409
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  This is a very tired line indeed, yani huwa zinaanzaga kama rumours then zikirudiwa sanaa kama this tired line hapo juu, watu huanza kuamini... Tuondolee udini wako hapa, kwani akipatikana kiongozi mwingine wa dini hiyo anayefaa kuna ubaya gani?... Tatizo isije kuwa umetumwa na MAPACHA watatu kuja kupima hali ya hewa humu jamvini. Thread namna hii zinakera sana!
   
Loading...