JK aalikwa na Castro Cuba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK aalikwa na Castro Cuba

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by NgomaNzito, Jun 9, 2009.

 1. NgomaNzito

  NgomaNzito JF-Expert Member

  #1
  Jun 9, 2009
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 561
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  President Jakaya Kikwete had been invited by Cuban President, Raul Castro Ruz to pay a visit later this year.

  The invitation was presented to President Kikwete by Cuban Ambassador to Tanzania Ernesto Gomez Diaz yesterday when the president held talks with the envoy at the State House.

  Kikwete accepted the invitation to visit the country. He told the envoy that a date would be set for him to visit Cuba.

  President Kikwete yesterday also held talks with Saudi Ambassador Ali Abdallah Suleiman Al-Jarbou, who told the president that his trip to Saudi Arabia last April had opened doors for new cooperation between the two countries. He thanked President Kikwete for having visited the country.

  Kikwete is the first Tanzanian president to be invited to visit Saudi Arabia.

  He was also the first president to be awarded a special medal by the Saudi state, the second of which was given recently to US President Barack Obama.

  Al-Jarbou advised that it was time for Tanzanian ministers to visit Saudi Arabia in order to follow up on the implementation of agreements reached between President Kikwete and Saudi King Abdullah bin Abdul Aziz al Saud.

  Source Guardian

  Ziara ya Cuba inaweza kuleta manufaa kwetu tunahitaji madoctor wa Cuba cheap na wamefanikiwa kutibu watu wake pamoja na uchumi wao kuadhiriwa na vikwazo
   
 2. Spear

  Spear JF-Expert Member

  #2
  Jun 9, 2009
  Joined: Jun 21, 2008
  Messages: 510
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Duu Huyu kweli ni chaguo la Mungu,sio kama Nyerere alikuwa Blala Blala na siasa zake za Ujamaa na kujitegemea .wala hakuwa anapatiwa mialiko kama hii ya Jk.
   
 3. K

  Kakalende JF-Expert Member

  #3
  Jun 9, 2009
  Joined: Dec 1, 2006
  Messages: 3,259
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 135
  Mkuu Spear acha utani kweny issue muhimu!
   
 4. C

  Chifu New Member

  #4
  Jun 9, 2009
  Joined: Jun 8, 2009
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  u dnt knw n u wil never knw
   
 5. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #5
  Jun 9, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,867
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  Je wamemtumia nauli au ni kodi zetu sisi watu maskini zitatumika??

  Je hapo kuna kubana matumizi??

  Hivi kwa nini asimtume huko Membe?
   
 6. H

  Hekima Ufunuo JF-Expert Member

  #6
  Jun 9, 2009
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 220
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwa mtizamo huu, umefikiri vya kutosha? Hii ni sehemu ya great thinker, acha utani. Hizi safari ni gharama kubwa sana kwa taifa letu na zingetosha kabisa kujenga vivuko vyo juu kwenye mataa ya moroco,magomeni,ubungo na kwingine kupunguza foleni. Mikutano mingine inaweza kufanyika kwa kutumia technologia. Kwa taarifa pale IFM wanaweza kumunganisha na raisi yeyote duniani.

  Hekima
   
 7. Kilasara

  Kilasara JF-Expert Member

  #7
  Jun 9, 2009
  Joined: Dec 21, 2008
  Messages: 578
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Spear kwa kusema J.K. ni "chaguo la Mungu" umejiingiza ktk lile kundi la viongozi wa Makanisa ya Wakristo ambao mwaka 2005 waliropoka hivyo. Umevunja sana!

  Maskini, hawa viongozi wakristo hawakuwa na mtandao wa wachunguzi kuchambua jinsi fedha za EPA zilivyokwapuliwa toka BoT ili ku-finance CCM na mgombea wake!
  Wangetambua kilichokuwa kinaendelea ili kununua zile kanga, vitenge, T.shirts na mabango ya J.K., pamoja na kuwalisha pilau na vinywaji majority ya WaTz ili wamchague J.K. labda wangesema huyu ni chaguo la Lucifer.

  Revelations za sasa Bungeni na hata hadharani zimeonyesha ufisadi wa hali ya juu. Kumbuka kwamba hata High Court has ruled kwamba Takrima ni unconstitutional.

  Kuhusu gharama za Globe-trotting, nakubaliana na Hekima Ufunuo. But the priorities of our President are to be polite warped. Hatufikiiiiiii!
   
 8. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #8
  Jun 9, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Brings a new meaning to the terms "Non-Aligned Movement". Almost prostituting it, but then again what is politics if not legalized prostitution?
   
 9. A

  AbbyBonge Member

  #9
  Jun 10, 2009
  Joined: Apr 2, 2009
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Who is a great thinker?.....tusitake kila mtu awe mshabiki wa kila linalosemwa, tuache watu waseme mawazo yao kwa mitazamo yao. Kama kila mtu angekuwa positive hapa duniani basi watu wasingeweza kutengeneza mabomu.
   
 10. NgomaNzito

  NgomaNzito JF-Expert Member

  #10
  Jun 10, 2009
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 561
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Tumwombe balozi wa Cuba awapatie nauli na posho msafara mzima
   
 11. Elusive

  Elusive JF-Expert Member

  #11
  Jun 10, 2009
  Joined: Nov 26, 2008
  Messages: 223
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Please elaborate..........aren't you hiding something/
   
Loading...