Jatropha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2009
- 1,151
- 199
zipo taarifa zinzoonyesha kuwa mgombea ubunge jimbo la kibaha mjini alishinda kwa kupata kura nyingi, lakini matokeo hayao yakabatilishwa kutokana na agizo la jk kuwa hataki hata jimbo moja la mkoa wa pwani.
Kabla ya hapo msimamizi wa uchaguzi alimuita ofisini kwake mgombea ubunge wa chadema na kutaka kumpatia donge nono inasemekana akakataa; kuona hivyo ikabidi msimamizi wa uchaguzi huyo kumpigia jk ili apatae kuongea na mgombea huyo wa chadema lakini, mgombea huyo akakataa kuzungumza na jk; ndipo wakachukua uamuzi wa kutangaza matokeo tofauti na hali halisi.
Inabidi wapenda mabadiliko wote tuvalie njuga suala la mabadiliko ya katiba na kuwepo tume huru ya uchaguzi kama tulivyojipanga katika uchaguzi huu ili tuondokane na wasimamizi ambao ni watumishi wa serikali iliyoko madarakani kama vile wakurugenzi wa halmashauri.