Jk aagiza kuwa hataki wabunge wa upinzani mkoa wa pwani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jk aagiza kuwa hataki wabunge wa upinzani mkoa wa pwani

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Jatropha, Nov 2, 2010.

 1. Jatropha

  Jatropha JF-Expert Member

  #1
  Nov 2, 2010
  Joined: Apr 9, 2009
  Messages: 1,152
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  zipo taarifa zinzoonyesha kuwa mgombea ubunge jimbo la kibaha mjini alishinda kwa kupata kura nyingi, lakini matokeo hayao yakabatilishwa kutokana na agizo la jk kuwa hataki hata jimbo moja la mkoa wa pwani.

  Kabla ya hapo
  msimamizi wa uchaguzi alimuita ofisini kwake mgombea ubunge wa chadema na kutaka kumpatia donge nono inasemekana akakataa; kuona hivyo ikabidi msimamizi wa uchaguzi huyo kumpigia jk ili apatae kuongea na mgombea huyo wa chadema lakini, mgombea huyo akakataa kuzungumza na jk; ndipo wakachukua uamuzi wa kutangaza matokeo tofauti na hali halisi.

  Inabidi wapenda mabadiliko wote tuvalie njuga suala la mabadiliko ya katiba na kuwepo tume huru ya uchaguzi kama tulivyojipanga katika uchaguzi huu ili tuondokane na wasimamizi ambao ni watumishi wa serikali iliyoko madarakani kama vile wakurugenzi wa halmashauri
  .
   
 2. babayah67

  babayah67 JF-Expert Member

  #2
  Nov 2, 2010
  Joined: Mar 28, 2008
  Messages: 493
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Mhh habari kama hizi zinatakiwa kuwa supported na Ushahidi, Cha msingi ni Chadema kuangalia mchakato mzimo wa utangazaji matokeo ulivyokuwa. Kama Chadema imeshinda, basi Ikikatwa rufaa yote yatakuwa wazi. Kumbuka yalotokea kwa Slaa uchaguzi ulopita.
   
 3. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #3
  Nov 2, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,372
  Likes Received: 3,136
  Trophy Points: 280
  mkwere naye!
   
 4. Jatropha

  Jatropha JF-Expert Member

  #4
  Nov 2, 2010
  Joined: Apr 9, 2009
  Messages: 1,152
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  habari nilizopata tayri mgombea anajitayarisha kufungua kesi mahakamani.
   
 5. Comrade Mpayukaji

  Comrade Mpayukaji Senior Member

  #5
  Nov 2, 2010
  Joined: Sep 26, 2007
  Messages: 192
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Jamani huu ni upuuzi usio na kifani. Mpaka kieleweke!! Wakoloni weusi CCM!!!!!!!!!!!!!!!
   
 6. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #6
  Nov 2, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,613
  Likes Received: 419,233
  Trophy Points: 280
  Suala hili kama kuna ushahidi lazima liende mahakamani na haki itendeke......tusiwaachie CCM wakabadilisha matakwa ya wapigakura.wajifunze ya kuwa kuna gharama zake................................
   
 7. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #7
  Nov 2, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180

  This is too good to be true!
  Hivi hawa jamaa ni manyang'au kiasi hiki?
  JK anajipaka matope kiasi hiki?..alijua haitajulikana?


   
 8. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #8
  Nov 2, 2010
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Kabla ya kuhangaika na mahakamama, naagiza huyo msimamizi wa uchaguzi 'ashughulikiwe' na vijana, ili iwe fundisho kwa wengine...
   
 9. kuberwa

  kuberwa JF-Expert Member

  #9
  Nov 2, 2010
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 568
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  lazima wapenda maendeleo tulione hili na kutoliacha liende! Tukomae mpaka lirudi kwetu
   
 10. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #10
  Nov 2, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Wao na pesa sisi na mungu, mungu yuko upande wetu
   
 11. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #11
  Nov 2, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  HuYO MSIMAMIZI WA UCHAGUZI INGEKUWA NI ARUSHA AU MWANZA ANGEWAJUA VIZURI WAPIGA KURA
   
 12. Power to the People

  Power to the People JF-Expert Member

  #12
  Nov 2, 2010
  Joined: Jul 11, 2007
  Messages: 1,193
  Likes Received: 238
  Trophy Points: 160
  Kuanzia sasa mgombea yeyote wa UPINZANI akiitwa chemba na msimamizi wa uchaguzi ajimwage huko na vifaa vya kurecord hata simu zetu za mikononi zikitumiwa vizuri wataingia mkenge wenyewe
   
 13. Cassava

  Cassava JF-Expert Member

  #13
  Nov 2, 2010
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 282
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  kaka MUNGU huwa hajibu hapohapo, hata hivyo na wao wanamuomba, mwanza unapajua?
   
 14. Amigo

  Amigo Senior Member

  #14
  Nov 2, 2010
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 150
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mkuu wa kazi huyu jamaa wakipewa vijana wanaharakati wamshughulikie hata mahakamani hataweza kufika ataenda kuzikwa tu..
   
 15. QUALITY

  QUALITY JF-Expert Member

  #15
  Nov 2, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 854
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mambo kama haya yametokea sehemu nyingi. Unajua kule ambako vyama vya upinzani vimeshinda, wakurugenzi wake wana taabu sana!! Maagizo kama hayo hutolewa kwa DEDs. Ili uchaguzi uwe huru na haki, lazima tume huru ya uchaguzi iwepo!!
   
 16. M

  Mantaleka Senior Member

  #16
  Nov 2, 2010
  Joined: Dec 14, 2008
  Messages: 104
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naunga mkono hawa wasimamizi wachakachuaji kama wanaogopa mabosi wao kuwanyima kazi basi wajue bosi wa mabosi wao ni wananchi hivyo wamuogope zaidi mwananchi, na kama hawajui huu ndiyo mwisho wao vijana wa sasa nina hakika hawata waacha wa-enjoy dhuluma hiyo hata kidogo na mbaya zaidi ni kuwa maisha yao yako hatarini, sijui kwa nini wanakuwa wajinga kiasi hiki, kuna wakurugenzi na wagombea sehemu nyingine nchini hapa walisalimu amri baada ya nyumba zao na familia zao kuwa hatarini sasa yote hii kwa faida ya nani:doh:
   
 17. H

  H6MohdH6 Member

  #17
  Nov 2, 2010
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Usidhani kuwa mahakimu hawapewi amri hivyo hivyo kama wanavyopewa NEC. Tatizo ni baadhi ya misingi ya utawala iliyojengwa tangu Uhuru ni mibaya kwa maendeleo na cha kwanza ni kuelewa hivyo. Kisha turekebishe. Hili la Tume ya Uchaguzi limeshaeleweka wazi wazi. Kwa hiyo kuelekeza nguvu zote katika kuubadilisha mfumo wa NEC ili utendaji wao usifungamane na upande wowote kuwe na kipaumbele katika ajenda za vyama vyote vya siasa na taasisi zote za jamii.
   
 18. Emma Lukosi

  Emma Lukosi Verified User

  #18
  Nov 2, 2010
  Joined: Jul 22, 2009
  Messages: 932
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  We mbona unapenda kuwasakizia VIJANA.
   
Loading...