Jiwe walilolikataa washi??

kitalolo

JF-Expert Member
Dec 4, 2006
1,827
707
7.NapeakizungumzajambolaLowassakwenyemkutanowaKinanauliofanyikaUsaRiverArusha.jpg

2.KatibuwaNECItikadinaUeneziNapeakisalimiananaLowassaUwanjawaNdegewaArusha.KushotoKtbwaCCMmkoawa.jpg
Je liwezakuja kuwa jiwe kuu la pembeni neno hili latoka kwa kitalolo nalo laweza kuja kuwa la ajabu machoni pa wengi.

Wakati Lowasa alipokuwa akitajwatajwa kuhusika na usfisadi Nape na kampeni yake ya kujivua gamba aliaanza kukatiza mitaani ni kuendesha kampeni ya kuwangoa mas=fisadi walitajwa katika chama akiwemo chenge, lowasa na Rostitamu. hapa nape kaamua kutala matapishi yake?

sijaleta siasa kweli kwenye jukwaa la picha naomba muangalie tu picha na muburudike msichangie
 
Last edited by a moderator:
....sasa limekuwa jiwe kuu la pembeeniii..
...neno hili nimelipata kwa kitalolo......
...nalo ni ajabu machoni petuuu.......
 
Last edited by a moderator:
Nape ni kama mbwa anayejipeleka mdomoni kwa chatu mkia ukiwa umefyata.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
hao ni paka na panya mwisho wa siku lazima mmoja atamla mwenzie.ni nani tusubiri muda ukifika tuajua.
 
nilipoiona hii picha kwenye gazeti la Nipashe sikuamini.
Mwanzoni nilijua kuwa Tanzania kuna unafiki na fitina lakini sikuwahi kudhani kama ni wa kiwango hiki!!!
View attachment 72480

Jamani huyo mrembo anaeonekana hapo ni nani? Aisee amenivutia sana ila amekaa na mafisadi sina pesa ya kifisadi ya kumvutia.
 
Back
Top Bottom