Jiunge nami kusema hapana kwa udhalilishaji na ubaguzi anaoufanya mmliki wa clock tower café Iringa

Huenda unapenda sana kubeba mizigo mgongoni..TUA huo MZIGO..sahau na samehe..tena na upo kwemye mwezi wenu mtukufu jamani??unashindwa nn kusamehe?


Na kikubwa asizoee sana ofisi za watu kihivo ,choo cha hapo kipo kwa ajili ya wateja na sio wapita njia .


Tujifunze kuheshimu ofisi za watu na kuwa na mipaka kwenye ofisi za watu no matter mmezoeana kiasi gani

Boss ajatumia approach nzuri pia kwenye kumkabili Mwanasheria wetu.
 
Siku ukipata wageni watalii Jeni nendeni pale na coaster nzima, mkishapata huduma wewe ndio ulipie bill ile halafu muondoke
 
Unatakiwa ukaombe msamaha! Ulikosea kuingia kujisaidia kwenye biashara ya watu. Ulienda kuweka uchafu wako kwenye biashara ya watu ambao hautokani na wao. Ni sawa na kula kwa Mama Ntilie Mariam Birian ukaenda kunawa kwa Mama Ntilie Asha Makande.
 
Kiukweli hiyo cafe naifaham vizuri tuu...tena inatoa huduma nzuri sana na customer care yake ipo vizur kiujumla....pale huwa tunakutana watu wa jamii tofauti lakin sijawahi shuhudia ubaguzi ulio nenwa na huyu wakili kanjanja....ni wivu tuu kwa kweli pale wapo viongoz wakubwa tu wa mkoa na bei za vyakula vyao ni nafuu sana....cjui huyu mtu anasema anabaguliwa kwa kipi....nadhan kuna ustarabu hakuufuta...mmilik wa cafe..ni mtu poa sana tena ni wakujishusha kweli kweli...he z very smart kwa kweli...tujaribu kutunza brand za watu...mods naombeni futen huu uzi..upo kwa ajili ya kuharibu biashara za watu..
 
Kwa kuwa mmekuwa mnafahamiana.. nakupa pole. Nitamalizia kusoma nikipata muda tena.. nilifika 2/3.
 
Asee pole sana Ndg ila kiukweli siku zote tunasema waarabu ni watu wabaguzi sana..
 
Ndefu km kamba

Na inawezekana na kimba alizoenda kushusha zilikua ndefu hivo hivo.

We ule zako dengu huko uje kunya mgahawan kwangu hata Mimi nakutimua halafu usingizie ubaguzi.

Tena bahat yako. Angekushurutisha ubebe na mavi yako uliyojaza
 
Back
Top Bottom