Jiunge na asasi yetu kujitolea mambo ya kijamii uwe mdau

you are not serious! Instead of convicing you manage to confuse. Kama una maono mazuri kupita maono yote yaliyowah kuwapo na ukashindwa kuyaweka wazi kwa watu, kuwaondolea watu mashaka ya kifikra namna ya kufikia maono hayo, kamwe usitegemee kupata mkono wa shirika. Inakuja akilini mimi kuingia garama ya vocha, chaji, muda na uchakavu wa simu kukupigia simu kwa jambo ambalo halieleweki.
Ushauri wa namna ya uzi wako ungekuwa na mvuto kama ungekidhi yafuatayo
1. Jina la ngo
2. Physical address
3. Main activities
3. Vision mission
4. Objectives and goals
5. Strategic plans
6. Current project
7. Financial sources
wengine wanaweza kuongeza. Ingekuwa na ushawishi hata mimi labda ningejiunga. Ila nw sipo tayari kupoteza vocha chaji muda na uchakavu wa simu kwa jambo ambalo halielewiki.
 
asante kwa maoni.nilijua maswali ya namna hii yataibuka sana ila kutokana na sababu fulani ambazo syo busara kuzitaja nimeandika kwa kifupi kama hivyo just kuokoa muda na kama suala la vocha linakutatiza usijali wewe bipu au tuma mesej then mimi ntakupigia.ningesema niweke mambo yote uloyataja ni kweli ingekuwa ni kifanisi zaidi ila nilikuwa natoa ujumbe kwa kifupi then mengine ntaelezea kwenye simu kama mtu anahtaji anitafte.hata hvo asante kwa MAONO
 
Weka wazi hiyo miradi mnayotaka kufanya ni ya aina gani? Kumbuka unataka watu wenye ajira zao na sio job seekers. Hivo inabidi utoe maelezo kuhusu hiyo miradi miwili ambayo inahitaji ninyi muwe na hao watu, then mtu akiona aina ya mradi atajipima na interests zake lakini kwa maelezo hayo uliyotoa hapo juu yatapunguza kufanya upate idadi kubwa ya watu watakaokupigia simu lakini mwisho wa siku wengine hawatakua interested.
So take time kuelezea mambo hapo.
Hata hivo nakutakia kila la Kheri
Thanks
 
asante kwa maoni.nilijua maswali ya namna hii yataibuka sana ila kutokana na sababu fulani ambazo syo busara kuzitaja nimeandika kwa kifupi kama hivyo just kuokoa muda na kama suala la vocha linakutatiza usijali wewe bipu au tuma mesej then mimi ntakupigia.ningesema niweke mambo yote uloyataja ni kweli ingekuwa ni kifanisi zaidi ila nilikuwa natoa ujumbe kwa kifupi then mengine ntaelezea kwenye simu kama mtu anahtaji anitafte.hata hvo asante kwa MAONO
acha ubabishaji mkuu
 
Sasa kwanini mnataka watu wenye ajira? Kwanini msichukue wasio na ajira? Kuna kitu hapo weka wazi,mchango wa kiinglio na kuchangia taasisi kwa mwaka sh ngapi?
 
Mmh...Hii thread kwa kweli haishawishi hata kidogo..!
 
Siku hizi kila mbabaishaji anakimbilia kuanzisha NGO. Iwapo first lady ana NGO ukiachia mbali wachungaji matapeli kama Rwakatare Gamanywa Kakobe Lusekelo Gwajima na wengine kwanini huyu naye asijaribu. Ila namna hii mnarushisha nyuma maendeleo yenu binafsi ya taifa. Huwezi kutaka watu wakuchangie wakati hauko tayari kujibu maswali yao muhimu. Hii ni kutaka kuuzia mbuzi kwenye gunia. Na isitoshe approach yako inakuua hata kabla hujazaliwa. Msaada utakaoupata ni kukufichua kuwa u tapeli au mbabaishaji.
 
Mtoa uzi, buni mbinu nyingine kama huwezi kujitokeza na kuielezea hiyo ngo yenu. Au haya ni mambo ya vijiweni kwenu?
 
Siku hizi kila mbabaishaji anakimbilia kuanzisha NGO. Iwapo first lady ana NGO ukiachia mbali wachungaji matapeli kama Rwakatare Gamanywa Kakobe Lusekelo Gwajima na wengine kwanini huyu naye asijaribu. Ila namna hii mnarushisha nyuma maendeleo yenu binafsi ya taifa. Huwezi kutaka watu wakuchangie wakati hauko tayari kujibu maswali yao muhimu. Hii ni kutaka kuuzia mbuzi kwenye gunia. Na isitoshe approach yako inakuua hata kabla hujazaliwa. Msaada utakaoupata ni kukufichua kuwa u tapeli au mbabaishaji.

Acha uongo! nitajie kwa evidence jina la NGO iliyoanzishwa na askofu Kakobe. No evidence no right to speak
 
Vita za kidini zitaanza sasa hivi.

Jamani wadau,hakuna haja ya kuzozana,kila mtu ana maoni yake humu ndani japo mengine yanaudhi...maswali yaliyoibuka nilijua tu kwamba yangekuja lakini ni vizuri mkafaham kwamba huwezi kusajiliwa na serikali kama asasi bila kuwa na mission,vision,objectivez n.k,hivyo vyote na vingine ambavyo sikuvitaja ndio vinafanya kitu kinaitwa katiba..mimi sikuweka vitu hivyo nilivotaja hapo juu kwa sababu 2,ya kwanza ni ya kibinafsi[sitaki kuitaja hapa labda kwa mtu atakaepiga simu],ya pili sikuona haja ya kuandika kila kitu kwani ingekua sawa na kuweka katiba yetu hapa kitu ambacho sikuona kama kina umuhim sana.
kuhusu kusema tunahitaji watu wenye ajira au wenye kujiajiri ni kwa kua nilitaka ieleweke kwamba hii sio ajira hasa kwani kwa sasa bado mambo mengi tunafanya kwa kuvoluntia/kujitolea,na wote tunafahamu jinsi watu kibao wako mitaani kwa ukosefu wa ajira hivyo hatukutaka kuwaletea usumbufu
hata hivyo wanakaribishwa sana tu na pengine baada ya muda fulani hii ikawa ndio ajira yenyewe...kuhusu miradi niliyosema pia ipo,atakaekua tayari kujua zaidi basi apige simu kwa maelezo zaidi.ahsanteni;
 
Siku hizi kila mbabaishaji anakimbilia kuanzisha NGO. Iwapo first lady ana NGO ukiachia mbali wachungaji matapeli kama Rwakatare Gamanywa Kakobe Lusekelo Gwajima na wengine kwanini huyu naye asijaribu. Ila namna hii mnarushisha nyuma maendeleo yenu binafsi ya taifa. Huwezi kutaka watu wakuchangie wakati hauko tayari kujibu maswali yao muhimu. Hii ni kutaka kuuzia mbuzi kwenye gunia. Na isitoshe approach yako inakuua hata kabla hujazaliwa. Msaada utakaoupata ni kukufichua kuwa u tapeli au mbabaishaji.
mkuu kuwa na heshima na imani za watu...sio kuja tu na kuziita NGO...
unajua maana ya NGO weye??
 
Asigwa pole sana. Heshima ni jina langu. Maana ya NGO ni Non-Governmental Organization au Asasi Isiyo ya Kiserikali. Madhehebu ya dini ni asasi zisizo za kiserikali. Kama hujui sema uelezwe. Hata usajili wake hufuata mkondo huu wa asasi za kiraia. Je hadi hapo umeelewa? Yupo aliyeuliza swali kuwa Kakobe ana NGO gani? Inaitwa FGBF.
 
Ushamuumbua!! Kova anapenda kuziita taasisi za kidini.
 
Weka wazi tutelemke ma cv jomba,2kupe na mawazo coz 2shaendeshaga hzo mambo.
 
...Mkuu ZeMarcopolo umeua na umekamilisha siku yangu japo bado ni asubuhi!!! Teh teh teh...
 
Back
Top Bottom