Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

Nimehangaika kwa kila njia kutafuta ukweli juu ya uzi huu nimepata majibu tofauti tofauti lakini linalojitokeza kila mara ni kwamba kuna baadhi ya tarehe na siku ambazo ni nzuri sana kwa makafara ya kifreemason, kwa hiyo wanatafutwa watu waliozaliwa siku hizo ili watumike kwa manufaa na mipango ya ki-Freemason.
FREEMASON ni Propaganda iliyotungwa na watu tu kama ilivyo habari ya Dragons na Vampires

Ni ujinga kuamini societies za kubuniwa tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom