Nimekua nikijiuliza hawa wanaowapa kura hawa ccm kama wana akili timimamu,coz watu wametuongoza kwa miaka 50 nchi imetapakaa umaskini mpaka kwenye kucha,mahospitali hakuna dawa wala madaktari wa kutosha,miundombinu hakuna,kila kitu hovyo nakuuliza wewe uliyewapa hawa kura umetupeleka wapi?