Jiulize kama una akili timamu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jiulize kama una akili timamu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mtama, Nov 9, 2010.

 1. M

  Mtama Member

  #1
  Nov 9, 2010
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimekua nikijiuliza hawa wanaowapa kura hawa ccm kama wana akili timimamu,coz watu wametuongoza kwa miaka 50 nchi imetapakaa umaskini mpaka kwenye kucha,mahospitali hakuna dawa wala madaktari wa kutosha,miundombinu hakuna,kila kitu hovyo nakuuliza wewe uliyewapa hawa kura umetupeleka wapi?
   
 2. M

  Mountainmover Member

  #2
  Nov 9, 2010
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 46
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  eti wametupa amani! Hahahaha.. Wendaazimu
   
 3. Amina Thomas

  Amina Thomas JF-Expert Member

  #3
  Nov 9, 2010
  Joined: Mar 9, 2008
  Messages: 272
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  jamani ee! tugange yajayo maana hawa watu watatuletea stress bure! kuna watu wamezaliwa ili wawapigie makofi wengine!
   
 4. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #4
  Nov 9, 2010
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,353
  Likes Received: 387
  Trophy Points: 180
  Tulenge 2015 tuwape CHADEMA! Hili linawezekana kabisa!
   
 5. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #5
  Nov 9, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Kila aliyetoa kura kwa ccm hana akili timamu. Yes I say it!
  Fikiri jana alinijia mtu anaomba sh. 50 thousand maana mwanae kafukuzwa shule kwa ajili ya karo tena ni shule hizi za boda boda sijui karo yote hiyo ya nini, ajabu amekuja akiwa amevalia kapelo imeandikwa chagua ccm na nilimwona kwenye shamla shamla za kusheherekea ushindi wa ccm.
  Sikumwonea huruma kwani nilimpa short cut kwamba mlikataa elimu haiwezekani kutolewa bure kwa hiyo kalipe na ukishindwa, mwache mwanao achunge mbusi aiseeee. Hakunijibu bali alitoka kichwa chini. Mijitu hii haichelewi kusahau inapopata shida. Haina akili timamu.
   
 6. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #6
  Nov 10, 2010
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Yaaaaaaani!
   
 7. S

  Sam JF-Expert Member

  #7
  Nov 10, 2010
  Joined: Jun 6, 2006
  Messages: 416
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Sasa hapa sijui nani ambaye hana akili timamu, kati ya wewe na wao walioipigia kura CCM. CCM imetawala miaka 33 toka 1977 na siyo 50 kama unashindwa simple math na wewe pia unahitaji medical attention. Ofcource dawa haziko mahopitalini ziko kwenye pharmacies... kama wewe na akili zako unaenda hospitalini na kuulizia dawa hata humu unatakiwa uwe banned... we never know what you gonna say next.
  Until that day ambapo wapinzani watajua why watu wana vote CCM ndipo watapata ushindi wa kishindo. Karibu kila mtu ninayemjua anaipinga CCM sasa cha ajabu hizi kura zote zinatoka wapi? Kuna watu wengi sana wana vote for CCM ... na ujiulize ni kwa nini watu wengi hawapigi kura....
   
 8. Ulimate4

  Ulimate4 Member

  #8
  Nov 10, 2010
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Huhuhuuuu kidumu chama cha mapinduzi. Waliopigia ccm kura wote wana akili timamu sijui ww.?
   
 9. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #9
  Nov 10, 2010
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,588
  Likes Received: 3,887
  Trophy Points: 280
  Feeling may be mutual!

  kumbuka watu wametofautiana mitazamo na akili, huwa hawalazimishwi kuamni kitu fulani, ni kama dini vile

  Njia pekee ya kuwashinda ni kuandaa strategy za ushindi. utapata stress bure na utatukana mpaka mama yako!!! just imagine watu millioni 5 kila mmoja ukamtukana!!!

  kwa msimamo wangu naona waliopiga kura hata kuwapa chadema ndio hawana akili kabisa!! ilikuwaje watu wakaingia kwenye uchaguzi hali wakijua NEC ni ya CCM? haiko fair?? tukishindwa kubadili NEC basi CCM ni giant, na wale waliowapa kura wana imani nacho hata kama ni wendawazimu!!

  hupo hapo??? waambie hao mnaowaona wakombozi waanze kwanza na vitu vya msingi, utaonekana mjinga zaidi wakati wenzenu wanawaza kula na kupata fedha nyingi baada ya uchaguzi na ruzuku kuongezwa.

  Said that! oppotion tanzania ni wabaya kuliko maelezo kwa ku-manipulate tanzanian and giving them false hope, that lef 10million people not to vote!!!! sijui hao utawaitaje!
   
 10. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #10
  Nov 10, 2010
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  AKILI ZAO NI 'SHAKE WELL BEFORE USE'. Kama sio matajiri sana (walio wengi), basi ni maskini sana (walio wengi); makundi haya mawili akili zao zinahitaji kutikiswa..... Of course, kuna matajiri kama Sabodo ambao akili zao sio 'shake well'.
   
 11. Makame

  Makame JF-Expert Member

  #11
  Nov 10, 2010
  Joined: Jan 3, 2008
  Messages: 512
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kibaya zaidi na wewe umezaliwa ndani ya kipindi hicho

   
Loading...