Jitu Soni ametangazwa mshindi Babati vijijini


Mungi

Mungi

JF Gold Member
Joined
Sep 23, 2010
Messages
16,994
Likes
476
Points
180
Mungi

Mungi

JF Gold Member
Joined Sep 23, 2010
16,994 476 180
Jitu Soni ametangazwa mshindi na tume ya uchaguzi, kwa kupata kura 32,477, dhidi ya Laurent Tara wa NCCR kwa tofauti ya kura 500, ( simple victory).
 
Wambugani

Wambugani

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2007
Messages
1,758
Likes
47
Points
145
Wambugani

Wambugani

JF-Expert Member
Joined Dec 8, 2007
1,758 47 145
Jitu Soni ametangazwa mshindi na tume ya uchaguzi, kwa kupata kura 32,477, dhidi ya Laurent Tara wa NCCR kwa tofauti ya kura 500, ( simple victory).
Any regrets, kwa nini wamechelewesha hadi leo? Tuna hofu.
 
TIMING

TIMING

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2008
Messages
21,829
Likes
142
Points
160
TIMING

TIMING

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2008
21,829 142 160
who is jitu soni na ni jimbo gani
 
Njowepo

Njowepo

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2008
Messages
9,378
Likes
451
Points
180
Njowepo

Njowepo

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2008
9,378 451 180
Sasa jamani muwe mnaweka chama na Jimbo
 
Safari_ni_Safari

Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2007
Messages
23,215
Likes
7,000
Points
280
Safari_ni_Safari

Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Joined Oct 5, 2007
23,215 7,000 280
who is jitu soni na ni jimbo gani
Kaka iko kwenye title...Babati vijijini sasa kama alishinda kura nyingi hivyo why take 3 days to announce?
 
Mungi

Mungi

JF Gold Member
Joined
Sep 23, 2010
Messages
16,994
Likes
476
Points
180
Mungi

Mungi

JF Gold Member
Joined Sep 23, 2010
16,994 476 180
Sasa jamani muwe mnaweka chama na Jimbo
samahanini ndugu zanguni, si mnajua mie mwanamageuzi, nilichanganyikiwa nilipoona katangazwa yeye soni.

Huyu Bwana Soni ni FISADI LA KIHINDI huko KIRU babati, anaekari zaidi ya elfu 20, ameshinda kupitia CCM
 
D

don_maddiba

New Member
Joined
Nov 2, 2010
Messages
2
Likes
0
Points
0
D

don_maddiba

New Member
Joined Nov 2, 2010
2 0 0
Jamani huyo Jitu soni ni wa chama gani?
 
BornTown

BornTown

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2008
Messages
1,718
Likes
106
Points
160
BornTown

BornTown

JF-Expert Member
Joined May 7, 2008
1,718 106 160
CCM ni weeeeeeeeeeeeeeeeziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.................
 
Rutashubanyuma

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Messages
169,612
Likes
610,864
Points
280
Rutashubanyuma

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Joined Sep 24, 2010
169,612 610,864 280
ITV imeripoti hivi sasa hivi ya kuwa hesabu za kujumlisha kura bado ccm kidedea kwa mtiririko wa kura kama ifuatavyo:-

a) CCM............32, 777

b) NCCR-MAGEUZI.......31, 635

c) APTT Maendeleo (?) .........90
 
N

Nampula

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2007
Messages
254
Likes
1
Points
0
N

Nampula

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2007
254 1 0
mhhhhhhhh.........hapajachakachuliwa hapo lakni?
 
M

MpitaNjia

Member
Joined
Nov 6, 2007
Messages
47
Likes
0
Points
0
M

MpitaNjia

Member
Joined Nov 6, 2007
47 0 0
Kuchakachua ni lazima.... Unategemea nini ukishindana na FISADI
 
Mwanamageuko

Mwanamageuko

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2010
Messages
3,987
Likes
1,432
Points
280
Mwanamageuko

Mwanamageuko

JF-Expert Member
Joined Oct 31, 2010
3,987 1,432 280
ITV imeripoti hivi sasa hivi ya kuwa hesabu za kujumlisha kura bado ccm kidedea kwa mtiririko wa kura kama ifuatavyo:-

a) CCM............32, 777

b) NCCR-MAGEUZI.......31, 635

c) APTT Maendeleo (?) .........90
:smile-big: Ruta, je hawajagoma tena YARUDIWE???
saa zingine ni kujiabisha wanapenda na kwa mfumo huo unadhani wakisema kwingine yarudiwe si wanatafuta kutukanwa>>>
 
L

lukabrazi

New Member
Joined
Feb 4, 2011
Messages
3
Likes
0
Points
0
L

lukabrazi

New Member
Joined Feb 4, 2011
3 0 0
huyo jamaa ni kabila gani?Tumepata tarifa kwamba kuna fujo katika kiru mashabhani,wakulima wakubwa wanatesa wanainchi.
 
drphone

drphone

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2009
Messages
3,561
Likes
37
Points
145
drphone

drphone

JF-Expert Member
Joined Sep 29, 2009
3,561 37 145
mbona sioni za chadema hapo
 

Forum statistics

Threads 1,215,003
Members 462,987
Posts 28,531,559