Jitu la miraba minne Irani, limetangaza kupambana na ISIS

Sijaona mwili wa kutunisha kisu kisipite shingoni huyo simpo sana kama kuku wa IDD tu watu wanakata
 
Looh ameoa kweli namwonea huruma mke wake

Ah wapi, mke wa huyu jamaa labda atasumbuka kwenye kuandaa maakuli tu, ila kwenye "mambo flani"watu kama hawa mara nyingi utakuta wana vibamia tu, vile ambavyo ukikohoa tu kimechomoka....
 
Back
Top Bottom